Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
- Thread starter
-
- #101
Jamaa kwa pasi za kuhamisha mpira toka uoande mmoja kwenda upande mwingine kwa outer bado sijaona mfano wake mpk leo. He is a living legend!Huyo mtu kuna pasi flani hivi alikuwa anazipost kwa nani na ronaldo ilikuwa hatar mashut hatuyap nafas ila jihad kama boko haramu mimba yake pacha mana kadi tu mwanzo mwisho akifunga ndo unajua yule albino mana hiyo shangilia yake full huzuni
Kwangu mimi hata Cr7 na Messi hawaingii kwa Robben sema basi tu maisha haya saa nyingine ni nyotaArjen Robben ni moja kati ya wachezaji underrated sana, uwezo wa huyu jamaa hakuna wa kumzidi kwa miaka kama mitano iliyopita hadi sasa (excluding Messi na Ronaldo) but hawagi appriciated kabisa
Jamaa kwa pasi za kuhamisha mpira toka uoande mmoja kwenda upande mwingine kwa outer bado sijaona mfano wake mpk leo. He is a living legend!
Zinadine zidane
Fernando Redondo, haijawahi kutokea mashine kama hii, hata Ronaldinho Gaucho hamfikii, Manure hawatakaa wamsahau ila duniani hakumbukwi kama anavyostahili!
poa niaje?Muso vp?
Naunga mkono hoja!!Arjen Robben ni moja kati ya wachezaji underrated sana, uwezo wa huyu jamaa hakuna wa kumzidi kwa miaka kama mitano iliyopita hadi sasa (excluding Messi na Ronaldo) but hawagi appriciated kabisa
Nimetokwa na machozi
Si kule kukimbiakimbia hadi kuacha mpira nyuma kama MAPUNG'O ndio anaonekana bora eti!Hivi stering naye anaweza mpira hadi awe mchezaji bora?
Acha kumfananisha GEREMY FOSTO NJITAP na vitu vya kijinga...Njitap alimudu namba zote za uwanjani kwa vitendo huyo mwanao ana namba ngapi uwanjani?geremi njitap kama mwanangu Himid 23 Mao
Tuseme alaaniwe guardiola kwa kumdhalilisha etoo, eti ibrahimovic alikuwa na thamani zaidi ya etooWatu wa hispania ni Wabaguzi sana! Walikuwa wanaona mtu mweusi anaelekea kuwa mfalme pale! Ndiye Alikuwa mpachika magoli pale! Hali kadhalika yaya Toure walimwondoa kwa wivu hivyo hivyo.