Top 5 Underrated Football Players Of All Time

Top 5 Underrated Football Players Of All Time

Huyo mtu kuna pasi flani hivi alikuwa anazipost kwa nani na ronaldo ilikuwa hatar mashut hatuyap nafas ila jihad kama boko haramu mimba yake pacha mana kadi tu mwanzo mwisho akifunga ndo unajua yule albino mana hiyo shangilia yake full huzuni
Jamaa kwa pasi za kuhamisha mpira toka uoande mmoja kwenda upande mwingine kwa outer bado sijaona mfano wake mpk leo. He is a living legend!
 
Gerard alipita njia zake lakini kuna game flan nimeisahau alikuwa sabu steve alitamba kwa pasi ila alivyoingia plus na bifu lao na liva alizipiga ndege za ajabu mbona aliwamurder bila case hyo game ndo nilijua waingereza kwel sungura tope
 
Arjen Robben ni moja kati ya wachezaji underrated sana, uwezo wa huyu jamaa hakuna wa kumzidi kwa miaka kama mitano iliyopita hadi sasa (excluding Messi na Ronaldo) but hawagi appriciated kabisa
Kwangu mimi hata Cr7 na Messi hawaingii kwa Robben sema basi tu maisha haya saa nyingine ni nyota
 
Arjen Robben ni moja kati ya wachezaji underrated sana, uwezo wa huyu jamaa hakuna wa kumzidi kwa miaka kama mitano iliyopita hadi sasa (excluding Messi na Ronaldo) but hawagi appriciated kabisa
Naunga mkono hoja!!
 
geremi njitap kama mwanangu Himid 23 Mao
Acha kumfananisha GEREMY FOSTO NJITAP na vitu vya kijinga...Njitap alimudu namba zote za uwanjani kwa vitendo huyo mwanao ana namba ngapi uwanjani?
Huyo mwanao tukimpeleka left back anaanza lalamika kocha hampendi.
 
Watu wa hispania ni Wabaguzi sana! Walikuwa wanaona mtu mweusi anaelekea kuwa mfalme pale! Ndiye Alikuwa mpachika magoli pale! Hali kadhalika yaya Toure walimwondoa kwa wivu hivyo hivyo.
Tuseme alaaniwe guardiola kwa kumdhalilisha etoo, eti ibrahimovic alikuwa na thamani zaidi ya etoo
 
Back
Top Bottom