Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
tukumbushe burazaMkuu unajua Steve Bruce alikuwa anacheza na kina nani England?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tukumbushe burazaMkuu unajua Steve Bruce alikuwa anacheza na kina nani England?
BahanuziKatika Soka kuna wachezaji wengi ambao wanajituma na kujitolea sana katika timu zao lakini hawapewi Heshima zile wanazostahili.
Kuna list kubwa sana ya wachezaji wa aina hiyo ambao ni mashujaa wasioimbwa katika timu zao. Ya kwangu iko hii hapa;
Xabi Alonso alipokuwa Madrid
Claude Makelele - Madrid
Yaya Toure - Barca
Steve Bruce - England
Gilberto Silva - Arsenal
Juan Roman Riquelme
Ipi ni top 5 yako?
Naunga mkono hojaJames Agyekum Kotei Simba Sports Club
Uko sahihiSergio busquets professor kama ambavyo Messi anamuitaga prof bus
Hazungumzwagi Sana lakn ni silent genius
Sent using Jamii Forums mobile app
JS Park alivyokuwa anapafomu big mechi akiwa Unitedby match:
Work done by Petr Cech was underrated during the CL final btn CFC and Bayern Munchen...much of the credit was directed to Didi!
Jamaa kwa pasi za kuhamisha mpira toka uoande mmoja kwenda upande mwingine kwa outer bado sijaona mfano wake mpk leo. He is a living legend!
Kabisa yule macho madogo balaaJS Park alivyokuwa anapafomu big mechi akiwa United