Top 5 Underrated Football Players Of All Time

Top 5 Underrated Football Players Of All Time

Katika Soka kuna wachezaji wengi ambao wanajituma na kujitolea sana katika timu zao lakini hawapewi Heshima zile wanazostahili.

Kuna list kubwa sana ya wachezaji wa aina hiyo ambao ni mashujaa wasioimbwa katika timu zao. Ya kwangu iko hii hapa;

Xabi Alonso alipokuwa Madrid
Claude Makelele - Madrid
Yaya Toure - Barca
Steve Bruce - England
Gilberto Silva - Arsenal
Juan Roman Riquelme
Ipi ni top 5 yako?
Bahanuzi
 
Sergio busquets professor kama ambavyo Messi anamuitaga prof bus
Hazungumzwagi Sana lakn ni silent genius

Sent using Jamii Forums mobile app
Uko sahihi
quote-you-watch-the-game-you-don-t-see-busquets-you-watch-busquets-you-see-the-whole-game-vic...jpeg
 
Back
Top Bottom