Hidden Diamond
JF-Expert Member
- Jan 31, 2024
- 260
- 481
Bukuku na mhando tu hapo basiList hii hapa wakuu naomba mnote hii ni according to me najua kila mtu anamtazamo wake.mimi binafsi nimebase kwenye ujumbe na sofa.Haya tuiangalie list👇👇👇
1-Bahati Bukuku(kwa nyimbo zenye ujumbe huyu mama anatisha aisee).ngoma zake hazichuji kama wale engine
2-Ambwene Mwasongwe
3-Goodluck Gozbert
4-Rose Muhando(sema huyu mama alinivunja moyo alivyoimba Mungu bariki taifa la Kenya wakati taifa Lina matatizo kibao ila Yuko vizuri)
5-Jenifer Mgendi
Hivi ni kweli Yesu na wanafunzi wake waliabudu Kwa nyimbo, na kama ndio walitumia miziki au la?. Kuna ushahidi wowote kwenye bible kuhusu haya . Mi naona Kuna Kuna ukweli tunafichwa hapaList hii hapa wakuu naomba mnote hii ni according to me najua kila mtu anamtazamo wake.mimi binafsi nimebase kwenye ujumbe na sofa.Haya tuiangalie list👇👇👇
1-Bahati Bukuku(kwa nyimbo zenye ujumbe huyu mama anatisha aisee).ngoma zake hazichuji kama wale engine
2-Ambwene Mwasongwe
3-Goodluck Gozbert
4-Rose Muhando(sema huyu mama alinivunja moyo alivyoimba Mungu bariki taifa la Kenya wakati taifa Lina matatizo kibao ila Yuko vizuri)
5-Jenifer Mgendi
Naenda na hii1. Rose Muhando
2.Angela Chubalonza
2.Bony Mwaitege- Album ya kwanza
4.Christina Shusho
5.Fanuel Sedekia
Sahihi kabisa mkuuNaenda na hii
Una ufahamu mdogo kuhusu mziki wa injili.List hii hapa wakuu naomba mnote hii ni according to me najua kila mtu anamtazamo wake.mimi binafsi nimebase kwenye ujumbe na sofa.Haya tuiangalie list👇👇👇
1-Bahati Bukuku(kwa nyimbo zenye ujumbe huyu mama anatisha aisee).ngoma zake hazichuji kama wale engine
2-Ambwene Mwasongwe
3-Goodluck Gozbert
4-Rose Muhando(sema huyu mama alinivunja moyo alivyoimba Mungu bariki taifa la Kenya wakati taifa Lina matatizo kibao ila Yuko vizuri)
5-Jenifer Mgendi
Zamani kulikuwa hakuna simu sasa hivi tunatumiaHivi ni kweli Yesu na wanafunzi wake waliabudu Kwa nyimbo, na kama ndio walitumia miziki au la?. Kuna ushahidi wowote kwenye bible kuhusu haya . Mi naona Kuna Kuna ukweli tunafichwa hapa
Kwenye suala la ibada Hilo ni agizo la mungu na halitobadilika kutokana na mda , kama vile funga na sadaka , mfumo ndio ule ule tokea miaka ya nyuma mpaka sasa. Je, Yesu na wanafunzi wake waliimba na kucheza mziki kuabudu? Turudini kwenye bible tutafute jibuZamani kulikuwa hakuna simu sasa hivi tunatumia
Au tunafanya dhambi au sio kiongozi ?
Biblia mbona sio ngumu Wala haija complicate kama unavyoiwazisha, unahoji jinsi ya kuabudu kwa kutumia Vyombo vya miziki? Unazungumzia uhalali wa Vinanda, Vinubi, Tari? 🤣🤣🤣Hivi ni kweli Yesu na wanafunzi wake waliabudu Kwa nyimbo, na kama ndio walitumia miziki au la?. Kuna ushahidi wowote kwenye bible kuhusu haya . Mi naona Kuna Kuna ukweli tunafichwa hapa
Chibalonza japo si mtanzania1.Bahati Bukuku
2.Rose Muhando
Swali ni rahisi, hizi nyimbo tunazoimba na kucheza ndio ibada ?Biblia mbona sio ngumu Wala haija complicate kama unavyoiwazisha, unahoji jinsi ya kuabudu kwa kutumia Vyombo vya miziki? Unazungumzia uhalali wa Vinanda, Vinubi, Tari? 🤣🤣🤣
Kwanza nioneshe walipokataza kutumia ndio tuendeleeKwenye suala la ibada Hilo ni agizo la mungu na halitobadilika kutokana na mda , kama vile funga na sadaka , mfumo ndio ule ule tokea miaka ya nyuma mpaka sasa. Je, Yesu na wanafunzi wake waliimba na kucheza mziki kuabudu? Turudini kwenye bible tutafute jibu