Top 5 ya wasanii Bora wa muda wote WA nyimbo za dini tangia tupate tupate uhuru

Jenifer Mgendi kwa nyimbo zipi zaidi ya Naliaaaa...pooole
 
Kama unazungumzia tangia uhuru ni
1. Faustune Muunishi
2. Daniel Mwasumbi na Mkewe
4. Mzungu Four
5. Nathanael Hingi
6. Ephraim Mwansasu
7. Kyande
8. Jangalason
Sasa anza kuwaleta hao wengine....
 
Ahsante sana Meku, nimeudownload ndo nausikiliza hapa. Sikiliza unaoimba EE Bwana umenichunguza na kunijua, wewe wajua kuketi kwangu na kuondoka kwangu, umelifahamu wazo langu tokea mbali,..
 
Hivi ni kweli Yesu na wanafunzi wake waliabudu Kwa nyimbo, na kama ndio walitumia miziki au la?. Kuna ushahidi wowote kwenye bible kuhusu haya . Mi naona Kuna Kuna ukweli tunafichwa hapa
Achana na yasio kuhusu jikite kutafuta pesa ujenge familia bora huko mbele ya safari
 
1. Mch Abiudi Misholi
2. Fanuel Sedekia
3. Rose Muhando
4. Ambwene Mwasogwe
5. Christopher Mwahangila
6. Boaz Danken
7. Bahati Bukuku
8. Bonny Mwaitege
9. Paul Clement
10. John Lissu
Umemsahau Martha Mwaipaja
 
Reactions: K11
1.Fanueli Sedekia
2.Ambwene Mwasongwe
3.Abihudi Mishori
4.Christina Shusho
5.Rose Muhando
6.Bahati Bukuku
 
Reactions: K11
Namba 1 weka Fanueli Sedekia
 
Jenipher Mgendi
Rose Mhando
Bahati Bukuku
Ambwene Mwasongwe
Ehrahim Sekeleti
Cosmas Chidumule
 
Imesema kuanzia uhuru au kuanzia mwaka 2000. Maana naona wasanii wengi hapo ni kuanzia 2000 sio kuanzia uhuru.
 
Kama unazungumzia tangia uhuru ni
1. Faustune Muunishi
2. Daniel Mwasumbi na Mkewe
4. Mzungu Four
5. Nathanael Hingi
6. Ephraim Mwansasu
7. Kyande
8. Jangalason
Sasa anza kuwaleta hao wengine....

Hii ndio List ya ukweli. Watu wanaleta majina ya 2000 pekee
 
List yangu ya Tano Bora tangu uhuru

1. David Nkone

2. Elphaz Habona

3. Apostle Kyande

4. Fanuel Sedekiah

5. Yusto Onesmo
 
Faustin Munishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…