Top 5 ya wasanii waliomake mkwanja mwingi kwa huu mwaka 2016

Top 5 ya wasanii waliomake mkwanja mwingi kwa huu mwaka 2016

Nyie ndio mnaofanya mashabiki wa Madale wote muonekane Misukule.
 
Hiyo list fake...list ya ukweli ni

1.Dimond
Kapata mtoto wa pili wa kiume.

2.Harmonize
Baada ya kupata tabu ya kuuza kahawa mjini na kugonga sana wahaya kwenye vibanda siku hizi ana demu mkali wa kichagga Wolper.

3.Raymond
Siku hizi anahishi kwake haishi tena ghetto la watu saba kodi buku buku kwa mwezi.

4.Mavoko
Siku hizi anakaa Madale amehama Tabata alipokuwa amepanga chumba na sebule

5.Q Boy Msafi
Amesafiri sana yaani kila alipoenda Dimond na yeye ameenda..Sauz yumo,Mayotte yumo kule mombasa yumo.
Alafu kaachia ngoma yake mpya na Shetta yaani sasa hivi anauza ngoma zake Digital anapiga show kila wiki.
 
Kiba Sony international wamempa $1m, wildaid $ 30,000 kila mwezi.... Bado mikataba mingine na shows... Mleta uzi uwe na adabu
 
Dimpoz kwa poz vp hayupo huyu mpumuliwaji Mzee???
 
1.Diamond
Huu jamaa katengenza hela nyingi sana mwaka kuanzia kwny endorsement zake, show, kuuza mziki kwny digital platform plus label yake inayomwingzia mkwnja day after day

2.A.Y
Japo jamaa hategemei sana kwenye mziki kwa asa ivi ila kutokana na miladi yake kwa mfano ana kipindi eatv ambacho kwa mtazamo tu wa kawaida kinamwingizia mpunga wa kutosha kabisa

3.Weusi
Hawa jamaa nao kwa huu mwaka ulikuwa poa sana kwako maana wametoa ngoma Kali sana ambazo zimewapatia show za kutosha na zenye mkwanja mwingi

4.Navy kenzo
Hawa jamaa ni kati ya makundi yanoyofanya vizuri sana kwny huu mziki wa bongo flava na wamewaza kupata endorsement airtel ambayo nahisi iliwatengenezea mkwanja mwing sana plus wana studio yao the industry ambayo nayo inaingiza mpunga wa kutosha

5.lady jay dee
Binti machozi ukipenda mwite komando au anaconda, tokea arudi na ngoma yake ya ndi ndi ndi baada ya kukaa kimya takriban mwaka mmoja imemuweka pazuri kufanya show za kutosha tena zake yeye mwenyewe plus show kali kabisa aliyoifanya pale mlimani city ambapo kiingilio cha chini ilikuwa 50,000Tsh.

Huwo ndo mtazamo wng

Mwenye maoni tofauti anakarishwa coz hili ni jukwaa lenye uwanja mpana na linalowahusu macelebriti wetu so karibuni jamvini
Itakuwa Umetumwa na mabwana zako !!
 
Kiba Sony international wamempa $1m, wildaid $ 30,000 kila mwezi.... Bado mikataba mingine na shows... Mleta uzi uwe na adabu
Usijifariji ndugu yangu...wildaid ilikuwa ya kujitolea,na sony hakupewa hata mia.
 
Ngoja kwanza nikacheze muziki[emoji441] [emoji445] nitarudi kuangalia hayo manoti bdaee
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hiyo list fake...list ya ukweli ni

1.Dimond
Kapata mtoto wa pili wa kiume.

2.Harmonize
Baada ya kupata tabu ya kuuza kahawa mjini na kugonga sana wahaya kwenye vibanda siku hizi ana demu mkali wa kichagga Wolper.

3.Raymond
Siku hizi anahishi kwake haishi tena ghetto la watu saba kodi buku buku kwa mwezi.

4.Mavoko
Siku hizi anakaa Madale amehama Tabata alipokuwa amepanga chumba na sebule

5.Q Boy Msafi
Amesafiri sana yaani kila alipoenda Dimond na yeye ameenda..Sauz yumo,Mayotte yumo kule mombasa yumo.
Alafu kaachia ngoma yake mpya na Shetta yaani sasa hivi anauza ngoma zake Digital anapiga show kila wiki.
Ww endelea kujitekenya afu unacheka mwenyewe
 
Kama Ali kiba hayupo hiyo list yako ni batili [emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Uongo uliotukuka,umeonesha udhaifu wa habari yako kwa kushindwa kuzngatia haya;
1.Chanzo cha hizo takwimu
2.kiwango cha utajiri wao,maana huwez kutumezesha matango pori kwa kututajia vyanzo vya mapato bila kutoa kiwango taaslimu.
[HASHTAG]#Jipange[/HASHTAG] next time unapoleta takwimu,usituletee takwim uchwara
 
Kama hutaki na ww fanya takwim zako mm nimefanya nikapata hawo so kama humini ni ww sasa
 
Back
Top Bottom