😅😅😅😅 Na Idd Amin Dada R.I.P😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆 Kwamba ni rasi samia
🚮🚮Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu.
1 John Joseph Pombe Magufuli a.k.a JIWE R.I.P jiwe waliokuchukia wapo hoi bin wa taabani.
2 Kim Jong UN 🔥🔥🔥🔥🔥
3 Vladimir Putin 🔥🔥🔥🔥
4 Ibrahim traore🔥🔥🔥🔥
5 Donald trump 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
6 Robert Mugabe R.I.P giant
NB. Zingatia namba tano
Unamweka wapi Col. Muammar Gaddafi?Kama kichwa cha habari kinavyosema wakuu.
1 John Joseph Pombe Magufuli a.k.a JIWE R.I.P jiwe waliokuchukia wapo hoi bin wa taabani.
2 Kim Jong UN 🔥🔥🔥🔥🔥
3 Vladimir Putin 🔥🔥🔥🔥
4 Ibrahim traore🔥🔥🔥🔥
5 Donald trump 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
6 Robert Mugabe R.I.P giant
NB. Zingatia namba tano
Aaah! Sorry kumbe nilielewa vibaya!Hapo ni kuanzia mwaka 2015 mkuu
Hana udikteta America sio shithole countries..!!Sawa mbona hata trump naye ni dikteta