Top 6 yangu ya marais duniani. Kuanzia mwaka 2015

muamali gadafi
 
Ben Mkapa na Kaguta Mseven?
 
Where we dare to talk openly.

Nimezimis sana zile zama za magreat thinker hapa JF.

Yaani vijana wa sasa ma-role model wao ni Mobutu seseko na Idd Amin
 
Magu huyu huyu tapeli na muongo mkubwa aliyetaka kumuua lisu au mwngne huyu huyu ndo unasema kuna watu wako hoi kina nani labda huko ccm maana chadema kaiacha, lisu yupo anadunda tu au tutajie hao unaosema wako hoi
 
Ukiwepo wewe
 
Hana udikteta America sio shithole countries..!!
We una akili timamu kweli ww trump kuna mambo hawez gusa kbs mfano ka tiba na mfumo mzma wa taifa la marekani hawez gusa unadhan marekan ni afrika eti jangili kama magu anaamua tu kujinunulia madege anaamua tu kutofata katiba eti eeeh
 
Umeielewa point yangu au umekurupuka? Nimesema huyo Trump hana jeuri ya kuwa dikteta America sio km hizi shithole countries zetu..!!
 
Adolf Hitler
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…