apo pa mwana fa ata Mungu anakuona1.Nikki Mbishi
2.Ney wa Mitego
3.Maana Fa
4.AY
5.Young D
6.Stamina
And so forth..
Kaka apo umepuyangaAfande Sele
Ila god zilla nimemuonea ata mm roho inanisuta but sina jinsiHad young killer na godzilla? [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
Huu uzi fake pia
mwambie atunge wimbo bila kuongea maneno kinyuma nyuma kama atawezaHad young killer na godzilla? [emoji26] [emoji26] [emoji26] [emoji26]
Huu uzi fake pia
Tupe mfano wa kinyume nyumemwambie atunge wimbo bila kuongea maneno kinyuma nyuma kama ataweza
Aseme kwanza nini maana ya rap..rapingNini maana ya fake rapper? Na huyo real rapper ni wewe au mpiga kelele?
Godzila mtoe hapo1. Joh makini
2. Nikki wa pili
3. Izzo biznes
4. G nako wara wara
5. God zilla
Kwa upande wng ndo hao...cjui kwako?
Mtoe nikki kwenye makundi ya kijinga!1.Nikki Mbishi
2.Ney wa Mitego
3.Maana Fa
4.AY
5.Young D
6.Stamina
And so forth..
Mleta mada ajachambua!Mmetiwa upofu wa chuki,toa chuki moyoni mwako kwanza ndio uchambue mziki au msanii.