Top five fake rappers (MC's)

Top five fake rappers (MC's)

1.Nikki Mbishi
2.Ney wa Mitego
3.Maana Fa
4.AY
5.Young D
6.Stamina
And so forth..
 
1.Nikki Mbishi
2.Ney wa Mitego
3.Maana Fa
4.AY
5.Young D
6.Stamina
And so forth..
apo pa mwana fa ata Mungu anakuona
umemuonea ata kitendo cha kumuweka kundi moja na ney wa mitego
unasemea fa wa alikufa na ngoma au fa wa mazoea feat bilnas
 
We mleta uzi unayemwita niki wa pili na joh makini fake rappers nakupa challenge utuandike walau nusu vesi ya 8 bars tu na chorus yake alafu tuilinganishe na nyimbo yoyote katika discography ya hao uliowaita fake.Muziki hasa wa hip hop sio rahisi kama unavyodhani,joh anaweza asiwe msanii bora kuliko wote wa hiphop na niki pia,lakini huwezi niambia eti ni fake.shame on you.
 
1. Joh makini
2. Nikki wa pili
3. Izzo biznes
4. G nako wara wara
5. God zilla

Kwa upande wng ndo hao...cjui kwako?
Godzila mtoe hapo

Huu ni unafiki na ndio maana mziki wetu hauendelei
we mwenyewe ni fake fan sasa
 
Back
Top Bottom