Top five fake rappers (MC's)

Mziki ni hisia ambacho ni sawa kwa mungine sio sawa kwa mungine,kuna ambaye hao ndo best rapa kwake,usiwe mvivu kuandika tupe sababu!!! Hata tukuelewe !
 
Umeandika jambo la maana sana ambalo wengi hawalifahamu.

Rap inabase katika flowing tu ya verses zenye vina na ujumbe bila principles kama za HipHop

Ndio maana namshangaa yeyote asemaye Afande Sele na MwanaFA ni fake rappers.
 
Elezea kwanza nn maana ya fake rapper alaf utoe na mifano toka kwa wanamziki wa nje alafu ndy uje ututajie fake rapper c-o ukurupuke tu five fake rapper inaonyexha unaongonzwa na uxhabiki,,,,japo m c mshabiki wa Kati ya ulio wataja ila inaonyexha ujui historia ya mziki wa hip hop bongo
 
Sijui kwann huwa mna chuki na watu wa kaskazin..ila ni kwel..mti wenye matunda hupigwa mawe
 
Umeandika jambo la maana sana ambalo wengi hawalifahamu.

Rap inabase katika flowing tu ya verses zenye vina na ujumbe bila principles kama za HipHop

Ndio maana namshangaa yeyote asemaye Afande Sele na MwanaFA ni fake rappers.
kweli mkuu, hakuna rapper fake ila kuna wana hip hop fake tena wapo wengi hatari
 
Sikiliza nyimbo za joh....joh nyimbo zake nyingi ni za kuunga kuunga tu unakuta verse Moja anaongelea vitu vingiii at once hana uwezo wa kustick na point moja
 
Sikiliza nyimbo za joh....joh nyimbo zake nyingi ni za kuunga kuunga tu unakuta verse Moja anaongelea vitu vingiii at once hana uwezo wa kustick na point moja
unaposema " kuunga unga" unakuwa una maanisha nini labda?
hiyo unayoona wewe kunga unga ndio hasa inayomfanya hadi leo bado yupo kwenye game. Ni ukweli Joh amechange sana, ukicheki Joh wa kwenye CHOCHOTE POPOTE au Joh wa kwenye HAO au Joh wa kwenye MFALME ni tofauti na Joh wa kwenye NUSU NUSU, game limechange akibaki pale pale alipokuwa enzi zile kuna watu wakali zaid wapo kwenye njia hizo... kuna watu hawana hata majina ya hivyo ila wanaandika lines conscious hatar so ni lazima yeye aswich ili aendelee kuwepo na kiukweli kaweza.... Hiyo kuunga unga unayoona wewe haifai ndio inayokufanya hadi leo wewe unamjadili la sivyo ungekuwa umemsahau kitambo.
 
Ebu mpe shule kidogo uyu chalii... Nina mashaka na uelewa wake kwenye mziki wa hip-hop
 
So ungungana na mm kuwa joh ni fake rapper.........from ze beginning nyimbo zake zote za kuunga unga

Na ukifatilia mistar zake mingi haina maana bali huiweka ili kukamilisha rhythm na vina
 
So ungungana na mm kuwa joh ni fake rapper.........from ze beginning nyimbo zake zote za kuunga unga
Fake rapper kivipi? Mtu unawezaje kuwa fake rapper? labda uniambie kwamba anaiba lines za watu na kusema zake hapo sawa anaweza akawa fake ila kama anatunga mwenyew na kuflow kwa mtindo wake mwenyew hapo hawez kuwa fake.

kutokukubali namna anavyoandika, au kutokukubali content ya track zake hakumfanyi yeye awe fake.
 
Harufu ya chuki kwa watu wa kaskazini, muacheni joh makini na weusi wake msimchafue!
 
1.Mwana Fa
2.Nikki Mbishi
3.Fid
4.Darrasa
5.Motraa de future
6.Roma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…