Shabiki wa shilole kaa mbali na huu uziStamina,young killer na kaka yao fid q,kalla jeremiah na nikki mbishi hawa hata sijui wanaimbaga makorokocho gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shabiki wa shilole kaa mbali na huu uziStamina,young killer na kaka yao fid q,kalla jeremiah na nikki mbishi hawa hata sijui wanaimbaga makorokocho gani
Umeandika jambo la maana sana ambalo wengi hawalifahamu.kuwa rapper ni kitu kimoja na kuwa mwanahip hop ni kitu kingine. unaposema rapper fake nakuwa sikuelew!
ni rahis sana kuwa mwanahip hop fake maana kuna misingi yake huwez kuwa rapper fake cause hakuna misingi ya kufuata. Unaweza ukasema rapper flan ni fake labda kwa kuwa haandiki conscious ila unakuta ana fun base kubwa sasa hapo huwez kumuita fake.
kweli mkuu, hakuna rapper fake ila kuna wana hip hop fake tena wapo wengi hatariUmeandika jambo la maana sana ambalo wengi hawalifahamu.
Rap inabase katika flowing tu ya verses zenye vina na ujumbe bila principles kama za HipHop
Ndio maana namshangaa yeyote asemaye Afande Sele na MwanaFA ni fake rappers.
Ana wimbo unaitwa mm mkali wa hip hophee alijaribu rap lini?
Sikiliza nyimbo za joh....joh nyimbo zake nyingi ni za kuunga kuunga tu unakuta verse Moja anaongelea vitu vingiii at once hana uwezo wa kustick na point mojakuwa rapper ni kitu kimoja na kuwa mwanahip hop ni kitu kingine. unaposema rapper fake nakuwa sikuelew!
ni rahis sana kuwa mwanahip hop fake maana kuna misingi yake huwez kuwa rapper fake cause hakuna misingi ya kufuata. Unaweza ukasema rapper flan ni fake labda kwa kuwa haandiki conscious ila unakuta ana fun base kubwa sasa hapo huwez kumuita fake.
Hapo hakna chuki but it's realitySijui kwann huwa mna chuki na watu wa kaskazin..ila ni kwel..mti wenye matunda hupigwa mawe
unaposema " kuunga unga" unakuwa una maanisha nini labda?Sikiliza nyimbo za joh....joh nyimbo zake nyingi ni za kuunga kuunga tu unakuta verse Moja anaongelea vitu vingiii at once hana uwezo wa kustick na point moja
Ebu mpe shule kidogo uyu chalii... Nina mashaka na uelewa wake kwenye mziki wa hip-hopunaposema " kuunga unga" unakuwa una maanisha nini labda?
hiyo unayoona wewe kunga unga ndio hasa inayomfanya hadi leo bado yupo kwenye game. Ni ukweli Joh amechange sana, ukicheki Joh wa kwenye CHOCHOTE POPOTE au Joh wa kwenye HAO au Joh wa kwenye MFALME ni tofauti na Joh wa kwenye NUSU NUSU, game limechange akibaki pale pale alipokuwa enzi zile kuna watu wakali zaid wapo kwenye njia hizo... kuna watu hawana hata majina ya hivyo ila wanaandika lines conscious hatar so ni lazima yeye aswich ili aendelee kuwepo na kiukweli kaweza.... Hiyo kuunga unga unayoona wewe haifai ndio inayokufanya hadi leo wewe unamjadili la sivyo ungekuwa umemsahau kitambo.
So ungungana na mm kuwa joh ni fake rapper.........from ze beginning nyimbo zake zote za kuunga ungaunaposema " kuunga unga" unakuwa una maanisha nini labda?
hiyo unayoona wewe kunga unga ndio hasa inayomfanya hadi leo bado yupo kwenye game. Ni ukweli Joh amechange sana, ukicheki Joh wa kwenye CHOCHOTE POPOTE au Joh wa kwenye HAO au Joh wa kwenye MFALME ni tofauti na Joh wa kwenye NUSU NUSU, game limechange akibaki pale pale alipokuwa enzi zile kuna watu wakali zaid wapo kwenye njia hizo... kuna watu hawana hata majina ya hivyo ila wanaandika lines conscious hatar so ni lazima yeye aswich ili aendelee kuwepo na kiukweli kaweza.... Hiyo kuunga unga unayoona wewe haifai ndio inayokufanya hadi leo wewe unamjadili la sivyo ungekuwa umemsahau kitambo.
Twende nae taratibu naamin atatuelewa.Ebu mpe shule kidogo uyu chalii... Nina mashaka na uelewa wake kwenye mziki wa hip-hop
Ww unaejua tupe maoni yakoEbu mpe shule kidogo uyu chalii... Nina mashaka na uelewa wake kwenye mziki wa hip-hop
Fake rapper kivipi? Mtu unawezaje kuwa fake rapper? labda uniambie kwamba anaiba lines za watu na kusema zake hapo sawa anaweza akawa fake ila kama anatunga mwenyew na kuflow kwa mtindo wake mwenyew hapo hawez kuwa fake.So ungungana na mm kuwa joh ni fake rapper.........from ze beginning nyimbo zake zote za kuunga unga