Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

1.Babylon Bayser
2.One Increadible
3.Godziller
4.Mabeste
5.Chidbenz

Hawa ndio nawaelewa haswaaaaaaa
 
Aisee,kila mtu na radha yake,yaani Blue naye ni best,Gadziller haaa haaa,hawa hata top 100 ziwezi kuwaweka

True mkuu,hao wenu sioni ujuaji wao kabisa, hata kwenye top 1000 hawagusi,ngoma za ziller daaaah,ni next level aisee,angekuwa na hela angewekeza ktk videos kali kama za kina diamond,hakika jigga angeomba kupiga nae colabo
 
Hivi Izzo Business anafanya Hip Hop?
 
Arusha Watengwa,Chindo hakuwa anafanya komesho sishangai kutomjua,sisi tunaofanya viringe we know he is the best,pale Ar kina Joh Makini ni ma bwana mdogo tu
Kuna kipindi walikuwa wana_freestyle pale Soweto kwenye viwanja vya Basketball na Kijenge Juu jirani na Studio ya Watengwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…