Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

hata washabiki wanawanunua?

nani kati ya hao wenye hela?

acheni wivu na kudanganyana

halafu ukiwaita wanabebwa lakini ndo wanaotengeneza hela....unajisikiaje?

fid q...my foot
Nani shabik wa joh afu ana hela gan huyo chali yangu naona kama ume fula kwa hasiara arifu aisee
 
Kwanza nataka mjue kuwa kuna tofauti kubwa kati ya hiphop na rap. Ukiwasikiliza hawa wasanii unaweza kudhani wanafanya mziki wa aina moja.

Wanaofanya real hiphop ni Roma Mkatoliki na Stamina. Hao kina fid Q na Jay wao wanafanya Rap. Unajua mara nyingi hip hop inagusa maisha halisi ya mtu. Mara nyingi huwezi kukuta hiphop ipo kwenye mashwala ya mapenzi.

Kwa bongo hiphop ipo Arusha na morogoro. Ingawa kwa dsm wapo wachache wanaojaribu kufanya hiphop ingawa wakati mwingine wanatoka kwenye mstari.
Kwangu wanaofanya hiphop ni
1. Stamina
2. Roma Mkatoliki
3. Afande Sele
4. Ney wa Mitgo ingawa huyu anatoka nje ya mstari.
5. Kala jere100.
6. Madee
Wanaofanya rap wapo kibao.
1. Jay
2. Fid Q
3. Nikki Mbishi
4. Jay moo
Na wengine wa aina hiyo.
 
Roma gan yule yule aliyeimba k yaan mpaka pale kati ni k au mwingine mbona sijakuelewa
 
Amin nakwambia

Mziki ni feelings,ni touches,hao niliokuoredheshea ni maprofesa kweny hilo,ukiwa na vision ndogo huwezi kuliona hili,aliyeharibikiwa na maisha ya dunia hapo ni chidbenz tu,ila naye ni mkari sema ndo hvyo tena,yamemkuta yaliyomfika
 
Back
Top Bottom