Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
HahahaKwahiyo FA anaimba tarabu
Hana kategori
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaKwahiyo FA anaimba tarabu
Nani shabik wa joh afu ana hela gan huyo chali yangu naona kama ume fula kwa hasiara arifu aiseehata washabiki wanawanunua?
nani kati ya hao wenye hela?
acheni wivu na kudanganyana
halafu ukiwaita wanabebwa lakini ndo wanaotengeneza hela....unajisikiaje?
fid q...my foot
Acha zako arusha hakuna wasanii wa hip hop
Ndo akina nani hao ngosha naona sasa unakuja na wasanii wako kutoka mfukon
Simplified Hip HopAfu nilikua nimesahau pro jay anaimba hip hop singeli siyo hip hop yenyewe
Watu kama shettaBas hatar
Roma gan yule yule aliyeimba k yaan mpaka pale kati ni k au mwingine mbona sijakuelewaKwanza nataka mjue kuwa kuna tofauti kubwa kati ya hiphop na rap. Ukiwasikiliza hawa wasanii unaweza kudhani wanafanya mziki wa aina moja.
Wanaofanya real hiphop ni Roma Mkatoliki na Stamina. Hao kina fid Q na Jay wao wanafanya Rap. Unajua mara nyingi hip hop inagusa maisha halisi ya mtu. Mara nyingi huwezi kukuta hiphop ipo kwenye mashwala ya mapenzi.
Kwa bongo hiphop ipo Arusha na morogoro. Ingawa kwa dsm wapo wachache wanaojaribu kufanya hiphop ingawa wakati mwingine wanatoka kwenye mstari.
Kwangu wanaofanya hiphop ni
1. Stamina
2. Roma Mkatoliki
3. Afande Sele
4. Ney wa Mitgo ingawa huyu anatoka nje ya mstari.
5. Kala jere100.
6. Madee
Wanaofanya rap wapo kibao.
1. Jay
2. Fid Q
3. Nikki Mbishi
4. Jay moo
Na wengine wa aina hiyo.
Amin nakwambia