Top five ya wasanii wakali wa Hip Hop Tanzania

Wa wap huyu sjawah mskia
Duuh humjui mbwa wa watengwa
Tafuta ngoma hizi kachanika sana
Mbwa mzee
Tabia mbaya
Nawaza
Nk
Best grp la hiphop halijawai tokea kama hilo WATENGWA

CHINDO akisimama JCB
 
Duuh humjui mbwa wa watengwa
Tafuta ngoma hizi kachanika sana
Mbwa mzee
Tabia mbaya
Nawaza
Nk
Best grp la hiphop halijawai tokea kama hilo WATENGWA

CHINDO akisimama JCB
Vipi HBC ya akina Nigga J?
 
Duuh humjui mbwa wa watengwa
Tafuta ngoma hizi kachanika sana
Mbwa mzee
Tabia mbaya
Nawaza
Nk
Best grp la hiphop halijawai tokea kama hilo WATENGWA

CHINDO akisimama JCB

Watengwa ni kama chuo cha hiphop,tatizo siku hizi wamezidisha kuvuta mmea.
 
1.Fid Q
2.Joh Makini
3.Mwana FA
4.Jay Moe
5.Profesa Jay

Bonus
Mr.blue
Songa.
 

hata washabiki wanawanunua?

nani kati ya hao wenye hela?

acheni wivu na kudanganyana

halafu ukiwaita wanabebwa lakini ndo wanaotengeneza hela....unajisikiaje?

fid q...my foot
 
1.sugu
2.pro j
3.songa
4.mbishi
5.mtambo
 
Arusha Watengwa,Chindo hakuwa anafanya komesho sishangai kutomjua,sisi tunaofanya viringe we know he is the best,pale Ar kina Joh Makini ni ma bwana mdogo tu

he is the best anaingiza sh ngapi??

acheni hizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…