Top Manyota Top Manyota, Chesko mzee wa Matunda, Manka Mushi, Baba Askofu

Top Manyota Top Manyota, Chesko mzee wa Matunda, Manka Mushi, Baba Askofu

Hao ni malegend wa Redio Free Africa (RFA) Mwanza huko kwingine wamesambaza upendo, walianzia Redio Free Africa RFA miaka hio kitambo sana, wote akina Lawena Nsonda.
Afu kuna jamaa alikuaga mizinguo alikuwa akipga simu anamzingua mtangazi Juma Ahmed Balagaza uyo mwamba alikuwa akiulizwa unaitwa nani anajibu Naitwa ugali Sokwe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom