Ni kweli mkuu,anza kujiandaa...Nifah kama haya yanayoendelea akilinimwenu yanauhalisia mm nitachangia costa yakuwabeba member wa jf kwenda mt kilimakyaro kula bata[emoji255] [emoji255] [emoji255] [emoji255] [emoji255] [emoji255]
Mdau kwani kuna tatizo?na kama.lipo ni lipi?JF hawajaweka sharti kwamba ulileta bandiko uweke na citation au sosi,wewe kama utalibeba hapa unaweza ukaandika sosi JF au flan wa JF au usiandike,na kama unajua kuna sosi ya hizi stori bas si mbaya uka clarify japo haina umuhim kiviiile.Kwa aina ya maandiko na mahali yalipowekwaSasa kama sio academic work bali ni stori tu kama za kitaa kwa nini mnamaindi wadau wakisambaziana story? Kwamba isitumike bila ruhusa, yeye mwenyewe kapakua bure sehemu... hana haki miliki
Na mm naomba uwe unanitag mkuuDivine... glory to yhwh Nifah BansenBurner Alisen Papushikashi Magazine Fire miss chagga succinate coA hydrogenase SANCTUS ANACLETUS mngony Excel Mussolin5 Jimena @Inferiority Complex gwijimimi wambura marwa Hoshea Shareef Conscious wambeke The Boss deejay Nasmile gkileo Juma chief Mangi flani hivi Ngongo makaveli10 KENZY kadada wa pili Root aretasludovick jonnie_vincy Clkey KAFA.cOm mbewe makedonia Afande Nyati peterchoka Leonard Robert Nchi Kavu STUNTER Chrizo jully van persie Khalidoun Tetramelyz punje haradari Mazigazi Alybaba babu na mjukuu platozoom jimmyfoxxgongo Nicodemas Tambo Mwikozi Ls man Heaven Sent sifongo Infantry Soldier haa mym 20acres MTS MarkHilary compos Tembo2 Erick the future nancy1983 Bulah binsaad Fazzaly The Wolf Firegironsa everhurt Melvine Mgibeon kijana wa leo samsun Coolant Jagood pacesetter apologize payton George Betram kisengeli Kiranga Jiwe Linaloishi Madame B jay john Guasa Amboni Dinazarde Juma chief Analyse Diva Beyonce snowhite Mmanu Expected Value onechromosome Missy rose Innocenthezron Immortal_MH Ficus sunola Robot la Matope JEKI likikima Compact scorpio me mamaafacebook II gambada ynwa
Amen [emoji120]
Awwwwww nafurahi sana kwa somo langu kuelewa.
Cheers [emoji477]
Nani sasa anaetakiwa kujiheshimu, mimi au yeye mleta mada anaejibu matusi bila hoja?
Ningependa kumuona mtunzi huyu anakomaa kitamthiliya, hivyo ni lazima ajifunze mambo ya proper attribution, claims of copyright na ku avoid plagiarism.
Huwezi kubandua hekaya za watu kutoka maktaba ya rekodi za makumbusho Washington University, ukayabandika mitandaoni na kudai haki miliki.
Dai lake la haki miliki amelifananisisha na kitabu cha Msekwa kuhusu Nyerere, yani non-fiction.
Huyu, tofauti na Msekwa, hana ISBN wala registered copyright lakini kasisitiza biti kali kwamba watu wasitumie hii hadithi.
Sasa katoa chanzo kimoja ku cover tunzi nzima, je, ili adai haki miliki, atueleze, yepi ya kwake ya kichwani, yepi kameza public archives katema hapa kama yalivyo.
Wooooow wanafunzi wangu mko vizuri kwakweli.na mimi najifunza Nisha
Shukrani sana 'shem lake'.. [emoji1]Kuna makala zinaandikwa humu za kijasusi na kiintelejensia na wadau mbali mbali.
Sipitwi na story za hawa jamaa, kila mmoja kwa nafasi yake natoa pongezi.
Kwangu The bold namfananisha na Dk Leakey kwenye uchambuzi wa habari za soka, ana vitu vya zaidi anaviongezea kwenye story zake ambavyo huvipati kwingine isipokuwa kwake tu.
Nimeandika hii ahadi kwenye diary Mkuu [emoji1]Nifah kama haya yanayoendelea akilinimwenu yanauhalisia mm nitachangia costa yakuwabeba member wa jf kwenda mt kilimakyaro kula bata[emoji255] [emoji255] [emoji255] [emoji255] [emoji255] [emoji255]
Mwalimu mzuri sana wewe mama'ngu! Na mimi kuna kitu nataka unifundishe..Wooooow wanafunzi wangu mko vizuri kwakweli.
Watu wa Jamii Intelligence sio wa mchezo mchezo [emoji23] [emoji122] [emoji122]
Shukrani sana 'shem lake'.. [emoji1]
Nathamini sana support yako Mkuu..
Hhahaha Dr. Leaky sio wa mchezo mchezo aisee..Sure man, kuna vionjo flani ukimsikia Dr Leakey akiwa anafanya uchambuzi huwa anaviweka, huwezi kuvipata kwa kina Kumwembe, Shafii, Kumba et al, the same kwenye nyuzi zako kuna vionjo ambavyo sivipati kwingine.
All in All natambua mchango wenu kwa pamoja mkuu.
Big Up sana.
[HASHTAG]#Nawaona[/HASHTAG] nawaona
Kaka kama unafikirh ni rahisi nenda na wewe kapakue.Sasa kama sio academic work bali ni stori tu kama za kitaa kwa nini mnamaindi wadau wakisambaziana story? Kwamba isitumike bila ruhusa, yeye mwenyewe kapakua bure sehemu... hana haki miliki
Hhahaha Dr. Leaky sio wa mchezo mchezo aisee..
Heshima kubwa sana kunifananisha naye.. Am humbled [emoji120]
Najua unatuona Mkuu! Usisahahu kuangalia angalia kwenye ramli kama ndugu yako sijafanyiwa yale mambo yale na huyu binti! maana huku kutekwa ni kwa kiwango cha lami aisee.. [emoji23] [emoji23]
Binti yuko kwenye her own standards.. You can't compare [emoji1] [emoji4] [emoji4]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23] [emoji23]