Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Status
Not open for further replies.
Ahsante The bold nimeona fitna za mataifa makubwa ya navyo vuruga nchi.. Nimeona Kuna sehemu umeitaja ukawa ya ilani, inawezana ata hapa kwetu hawa ukawa halisi wanatumika kuvuruga nchi ili Rais wetu mzalendo asitupe matunda ya Uhuru
 
Kutokana na haya uliyoyaandika mkuu naweza sema migogoro yote inayoendelea duniani ni mipango mahsusi wala sio ajali, kuanzia mapinduzi, ugaidi, vita vya kidini, vita vya kikabila nk.

Hasa sisi mataifa maskini wala hatuna sovereignty, kuna wenye rimoti wanatuendesha.
 
bahati ilio njema kwangu mada zote za The bold hazinipiti. nilichojifunza ni kwamba serikali zote duniani ziwe waangalifu sana na wapinzani wake maana ndio hao hao watao zimaliza nampa heko magufuli. lakini marekani na cia jamani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom