Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Status
Not open for further replies.
Mkuu The bold,
Najua unaufahamu utaratibu wetu,uzi nimeubamba mapema japo sijaletewa notification wakati jina nimeliona hapo kwenye tag list.

Shukrani sana na naona mtu ananyukwa KO nyingine ya Nguvu japo majina yao yananipa kisha kuyashika na kutamka.

Salute sana mkuu,baada ya kuusoma nimeelewa kwa sababu gani ulisema ni dude kali. Hakika ni dude makini. Heshima kwako Mkuu wangu.
 
Mkuu the The bold nashukuru sana kwa kuupa ubongo wangu balanced diet.

Mkuu moja ya vitu vilivyonifanya niidharau CIA na hivyo vitengo vyao vya ndani ni kufail katika uvamizi wa Bay of Pigs.

Yani ni jambo la kushangaza sana, CIA ikipokea mamlaka kutoka Raisi wa kipindi hiko J. F. Kennedy pamoja na mwanasheria mkuu wa Marekani mdogo wake R. F Kennedy wakafanya mipango isiyo na kichwa wala miguu.

Waliwezaje kuwaamini na kuwatumia Cuban exiles? (eti kwa kujidanganya kuwa wanawatrain), Out of Wacuba 1,400 CIA waliaminije kuwa wote wana chuki na nchi yao ama raisi wao? Kiuhalisia, hata kama naichukiaje Tz ama raisi wangu huwezi kunishawishi niingie Kariakoo nianze kumiminia watu risasi.

Kitu kilichonishangaza zaidi ni pale walipoingia kwenye mapambano kisha wakakung'utwa ndani ya siku tatu tu, tena wakati huo Fidel Castro alikua bado mtoto mbichi alikua karibu ana miaka 33 tu, tena wala hakutumia kikosi kipana.

Afu hawa CIA hawakuweza kuwalinda wachochezi wa Bay of Pigs? Yani walianzisha fujo wakitegemea kua kusingetokea counter attack kutoka kwa Fidel. Hawataweza kuAdmit lakini ukweli ni kwamba J. F. Kennedy na nduguye R. F. Kennedy wote waliuwawa na Castro kisa kukurupuka kwa CIA.
 
thanks the bold....
kwa kuniongezea jambo kwa bongo yangu.....
ndio nimejua kwamba cia hawaruhusiwi kufanya OP ndani ya Us....!!!!.....[emoji15] [emoji15]
 
Naam,nimemaliza sasa kuisoma makala hii ya aina yake.
Nami ngoja nihighlight sehemu zilizonivutia.

SAD
Hiki kitengo kimenitisha!Nimependa fitna zao,hakika wako vizuri sana.
Hasa tukio la kumng'oa madarakani Mohammed Mosaddegh limenisisimua sio kidogo.
Aling'olewa kitaalam kwelikweli.

Ila katika matukio yaliyonisisimua zaidi ktk kitengo hiki ni waliposhindwa kumng'oa madarakani Mzee mzima The Late Fidel Castro.

Tukio jingine lililoniacha na maswali lukuki ni mbinu gani waliitumia kumvusha Dalai Lama mpakani mwa China na kumpeleka India?
Nimetamani sana kujua walitumia mbinu gani.(Sadly umesema hakuna anayejua walitumia mbinu gani hadi leo hii)
Bila shaka ilikuwa mbinu hatari na wanaitumia hadi leo ndio maana hawajaianika kama hizi nyingine.

Katika matukio yaliyonichekesha sana ni matamanio ya Shah ya kwenda ulaya.
Mzee kagawa visima vya mafuta kisa tu akaoshe macho Hahahaaaaa

Yote kwa yote nimemkubali sana Mohammad Mosaddegh kwa harakati zake hadi aliposhinda.

Mwisho nina swali na ombi,nisijekuandika sana mwisho ikageuka makala ndani ya makala...lol

SWALI
Nimeona mwisho wa makala hii Waingereza walishinda 'vita' dhidi ya Mohammad Mosaddegh ambaye alikuwa kawabana mbavu katika dili la mafuta.
Na kiongozi aliyefuata alikuwa kibaraka wao aliyekuwa anafuata kila wamuambialo.
Je,Iran waliweza vipi kujikwamua kutoka katika utumwa huu dhidi ya Uingereza?
Ni nani aliyeongoza mapambano hayo ya kurejesha visima vyao vya mafuta?
Je alitumia mbinu gani?

OMBI
Naomba utuandikie makala kuhusu 'Simba aliyeshindikanika' Hayati Fidel Castro.
Nasikia huyu ndiye kiboko ya CIA.
Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi ni kwamba wamewahi kumuwekea mitego mikali ya kumuua 21 lakini aliikwepa yote.
Hiyo mitego ilikuwaje? Aliikwepa vipi?
Naamini kupitia wewe nitakata kiu yangu ya kumfahamu Shujaa Fidel Castro kwa undani.

Asante kwa makala nzuri yenye mtiririko wa kusisimua,lugha na misemo ya lugha yetu adhimu ya kiswahili ni kivutio kingine katika makala zako.

Am proud of you my sweet darling
#TheBoldIsMine#
 
Mkuu the The bold nashukuru sana kwa kuupa ubongo wangu balanced diet.

Mkuu moja ya vitu vilivyonifanya niidharau CIA na hivyo vitengo vyao vya ndani ni kufail katika uvamizi wa Bay of Pigs.

Yani ni jambo la kushangaza sana, CIA ikipokea mamlaka kutoka Raisi wa kipindi hiko J. F. Kennedy pamoja na mwanasheria mkuu wa Marekani mdogo wake R. F Kennedy wakafanya mipango isiyo na kichwa wala miguu.

Waliwezaje kuwaamini na kuwatumia Cuban exiles? (eti kwa kujidanganya kuwa wanawatrain), Out of Wacuba 1,400 CIA waliaminije kuwa wote wana chuki na nchi yao ama raisi wao? Kiuhalisia, hata kama naichukiaje Tz ama raisi wangu huwezi kunishawishi niingie Kariakoo nianze kumiminia watu risasi.

Kitu kilichonishangaza zaidi ni pale walipoingia kwenye mapambano kisha wakakung'utwa ndani ya siku tatu tu, tena wakati huo Fidel Castro alikua bado mtoto mbichi alikua karibu ana miaka 33 tu, tena wala hakutumia kikosi kipana.

Afu hawa CIA hawakuweza kuwalinda wachochezi wa Bay of Pigs? Yani walianzisha fujo wakitegemea kua kusingetokea counter attack kutoka kwa Fidel. Hawataweza kuAdmit lakini ukweli ni kwamba J. F. Kennedy na nduguye R. F. Kennedy wote waliuwawa na Castro kisa kukurupuka kwa CIA.

Aiseee katika matukio yaliyonisisimua ktk hii makala basi ni hili.
Hadi kiu yangu ya kumjua kiundani Castro imezidi maradufu!

Whaaaaat?[emoji87] [emoji87] kumbe Mzee mzima Castro ndiye mhusika?
Eeeh bwana eeeh!
The bold naomba useme chochote kuhusu hili tafadhali.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom