jamiink
Senior Member
- Dec 24, 2014
- 160
- 178
The bold hapa ndo unakuja kuona maisha ya Edward Snowden kuna wakati yalikuwa na maana na kuna wakati hayakuwa na maana.
Ukiangalia documentary ya snowden inaonyesha amejaribu kuweka wazi mission kadhaa ambazo zinaweka uchi taarifa za siri za watu wengi hii kitu ilimchukiza sana na ilimfanya apate msongo wa mawazo.
Pili, kuna uzi humu uliwekwa wiki jana ulikuwa unazungumzia kuhusu je taasisi zetu za kiulinzi na kiusalama zinaweza kuendesha vita hizi za kiuchumi na kimtandao, nafikiri wengi tukisoma na kupitia jinsi hawa SAD wanavyofanya kazi tutaona kwa nini tuna safari ndefu sana kuja kuwa First World country maana mpaka uwe hapo fitna kama hizi ni muhimu.
Swali kwetu je tuko tayari kufanya fitna hizi kufika hapo na kuendesha operation kama hizi kwa manufaa ya nchi??
Ahsante sana The bold makala hii naamini itafungua bongo za wengi.