Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Status
Not open for further replies.
Aiseee katika matukio yaliyonisisimua ktk hii makala basi ni hili.
Hadi kiu yangu ya kumjua kiundani Castro imezidi maradufu!

Whaaaaat?[emoji87] [emoji87] kumbe Mzee mzima Castro ndiye mhusika?
Eeeh bwana eeeh!
The bold naomba useme chochote kuhusu hili tafadhali.
Mkuu Nifah unaweza kunifundisha kubold neno/sentensi?
 
At last leo nimewahi makala murua kabisa kutoka kwa sterring The Bold. Maana nyingine inapita wiki ndo naziona. Ni bonge moja la story malizia na maswali ya wakuu Nifah nA Ontario bhaaaaasss.
 
Mkuu Nifah unaweza kunifundisha kubold neno/sentensi?
Bila shaka...
Anza na alama na herufi hii kabla ya neno unalotaka kubold [ b ] kisha malizia hivi [ /b ]
Mfano
Kama wewe ulivyouliza "Mkuu Nifah unaweza kunifundisha kubold neno/sentensi?"
Ukitaka kubold hiyo sentensi anza na [ b ] mwanzo kabisa mwa maneno unayotaka kuyabold...kisha malizia na. [ /b ] mwishoni mwa sentensi.
Kumbuka usiache nafasi kabla na baada ya hizo alama.
Namaanisha hizo herufi ndani ya mabano usiache nafasi baina ya mabano na herufi/alama.

Here we go...bold maneno sasa katika maelezo yangu haya.
Karibu.
 
I smell something btn Nifah and The bold
Maana si kwa mapenzi haya [emoji23]

Any way back to topic.

Ivii We jamaa @TheBold uneumbwaje!? Maana haya mavitu yapo tu ktk sources mbalimbali ila watu tukisoma kwako ndo tunaelewa kinoma.

Mungu amekujaalia sana kipaji.

Pia niulize, kua haya unayoyaandika unaweza ukasimulia kwa mdomo? Kama ndio itabidi niwe nakutafta hata Weekend unanisimulia stories kama hizi nq maswali nikuulize tani yangu, ntakua hata nakuchangia usumbufu (maana najua siwezi kulipa kipaji chako)
 
Watu
I smell something btn Nifah and The bold
Maana si kwa mapenzi haya [emoji23]

Any way back to topic.

Ivii We jamaa @TheBold uneumbwaje!? Maana haya mavitu yapo tu ktk sources mbalimbali ila watu tukisoma kwako ndo tunaelewa kinoma.

Mungu amekujaalia sana kipaji.

Pia niulize, kua haya unayoyaandika unaweza ukasimulia kwa mdomo? Kama ndio itabidi niwe nakutafta hata Weekend unanisimulia stories kama hizi nq maswali nikuulize tani yangu, ntakua hata nakuchangia usumbufu (maana najua siwezi kulipa kipaji chako)
Watu na vipaji vyao kwa hiyo unamuonea donge mwenzio vibaya hivyo
 
Dah....asante mkuu...kwa nondo unazotelemsha hapa,Laiti Kama tungekuwa wanajeshi Na Mimi ndio kiongozi Wako medali hii ungekuwa umeshavaa "MEDAL OF HONOR"

next time mkuu nitag
The bold
 
Hao ndio CIA, kuna wengine wanasema hawajihisi kama wao ni CIA mpaka pale watakaposhiriki mapinduzi katika nchi nyingine. Vurugu zote mashariki ya kati, kuanzia ugaidi, mapinduzi basi wana mkono wao.

Hao SAD au SOG( Special Operation Group) ni moja ya vikundi vyenye mafunzo ya hali ya juu sana nchini Marekani na duniani kwa ujumla. Katika operesheni yao ya kwenda kumkamata Osama, kulikuwa na mjadala mkubwa wapelekwe Seal Team 6 au Wapelekwe hao SAD

Iran pamoja na kuonekana na kiburi dhidi ya US na Israel lakini iko infiltrated kwa kiwango kikubwa sana, Israel na US wakiamua tu kuifanya kama Syria au Libya ni suala jepesi sana. Ndio ujasusi huo

Mengi tunayoyaona na kusikia hayapo katika uhalisia wake. Hongera Mkuu kwa hii kitu ya kufungia mwaka The bold
 
Nishamaliza wote na nimepata chakula ya ubongo thanks tena mkuu the bold,ila nimehuzunika fitina alizofanyiwa Mohammed hadi na raia wake wakamgeuka wakati bwege shah ana script yote mwanzo mwisho,kweli nimeamini ukiacha mungu kuna binadamu wenzetu wanaamu tuishije dunia nzima miaka nenda rudi,siri wanaijua wao tu daah.@the bold
 
The Bold,
Makala nzuri sana inayofungua bongo za wadau wa JamiiForums kuhusu nini maana ya maslahi ya nchi kiuchumi. Kuwa makampuni yaliyo binafsi (kiraia) au ya umma lazima yalindwe na vyombo vya dola kwa ustawi wa uchumi wa nchi kwa ujumla wake.

Pia somo zuri kwa wanasiasa wote wanaotaka/kutia nia kupata cheo cha juu kisiasa ktk nchi zao juu ya changamoto za kimataifa hasahasa maslahi ya makampuni ya kimataifa ya kigeni yanapoguswa.
 
Walichokifanya Marekani hakitofautiani sana na kile walichokifanya kwa Saddam Hussein. Saddam alikuwa mtu wao.

The bold ikikupendeza unaweza kuleta kisa hiki.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom