Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Status
Not open for further replies.
The bold Hivi Nchi kama Marekani ikiamua kuvujisha siri za matukio ya fitna na ubadhilifu kama hayo, haioni kwamba itajipunguzia Amani na ushirikiano kutoka nchi iliyotendewa kitendo hiko? Au haiogopi wala kugofia kuwekewa chuki ??
Imagine mtu anakwambia ''ndugu yako aliyekufa miaka 5 iliyopita Mimi ndo niliyemuua''
UTAMCHUKULIAJE HUYO MTU?,
mi nadhani Marekani haikupaswa kuweka mfumo wa kuvujisha siri zao za kiintelijensia hasahasa maovu waliyowatendea magaifa mengine.
 
Kuna umuhimu wa wanasiasa kupita humu...

Mtu amatoka chuo na degree ya public relation tuu ...hana diplomat skills zozote lakini anapewa wadhifa nyeti sana serikali ambazo hizo nafasi zao ndo SAD na SOG wanapita...

Sasa linapokuja suala la Tz ,SAD wanalala Hyatt Regency tuu na kugawa Italian Suit wanakuwa washamaliza kazi....

Next day wana board ndege wanarudi kwao...

Simaanishi kuwa wakipita humu ndo watakuwa na diplomat skills...No..ila naamini they will have their mind stretched to a New Dimension..

wapite tuu ili hata wapate hints...

Transcend
 
Yaani huo mkataba wa uk na iran ni kama mikataba yetu ya sasa. Fwatilia kwenye madini uone tunapata mrahaba wa kiasi gani?
Na vp kuhusu sheria ya gesi iliyopitishwa kwa hati ya dharira
 
Yaani huo mkataba wa uk na iran ni kama mikataba yetu ya sasa. Fwatilia kwenye madini uone tunapata mrahaba wa kiasi gani?
Na vp kuhusu sheria ya gesi iliyopitishwa kwa hati ya dharira
Usisahau mkataba wa kutumia maji na vyanzo vya mto Nile, hata ziwa Victoria hatukutakiwa kuyatumia maji wenzetu wa Mwanza na Shinyanga wapate maji, nakumbuka ni Lowasa ndio alivunja huu mkataba unaowapa Egypt haki pekee ya kutumia maji haya, na usisahau mkataba huu uliandaliwa na Uingereza.

Nilichojifunza ni kitu kimoja tu, Uingereza ni mabingwa wa mikataba ya kinyonyaji na badly sheria zetu bado tunatumia kingereza na mikataba ya ndani kwa kingereza pia, inshort tumeadopt system ya kinyonyaji.
 
mkuu sidhan kama wanavujisha wao bali kuna watu wanachoka na hzo mission then wanaandika vitabu au wanakua wistle blower tu
 
kwa maoni yangu kuadopt system au kutumia kiingereza kwenye mikataba sio mbaya but terms za mikataba tunazozikubali ndo shoda sasa
angalia tu mikataba yetu ya madini kwa mfano ts a shame
 
i do agree mkuu
kwani hawa so called wawekezaji wanafanya?wanafanya exactly ulichosema
wanakuja na pesa za kulala hotelini na kuhonga kidogo wakina "february" then wakishapewa tenda wnaarudi makwao wanapewa mkopo sasa wanakuja kuvuna mapesa
 
Umeongea kaka... Hawa jamaa kupambana nao unatakiwa uwe na akili ya ziada ya kung'amua mbinu zao... Wamefanikiwa wachache Sana kina putin.. Na somo la uzalendo inabidi lifundishwe mapema Sana.. Maaana Kwa sasa tuna tatizo zito la uzalendo. Wanasiasa wakiongea utadhani wazalendo ila kila mmoja ana msukumo nyuma yake...
Na ndio maana hadi Leo tokea mzee wa majipu aingie hajawahi gusa mkataba hata mmoja.. Anabaki ikwepa kila siku
 
.[/QUOTE]
mkuu mimi am so interested na the after math how dd iran bounce back after that
if u have the story plz shisha hapa na unitag plz
 
Mkuu uko vizuri sanaaa
 
Na tukumbuke hizo mbinu ni za karne iliyopita.. Now day's technology imekuwa... Na bahati mbaya sisi ni tegemezi wa kila kitu haswa technology..
We jiulize kama waliweza mdukua chancellor wa ujerumani vip kuhusu sisi ambao hata furniture za maofisini kwa ulimbukeni wetu tuna import..
Yaani kwa kifupi ni labda tuanze kujitegemea technologically..
 
Asante Mkuu The bold kwa makala nzuri......mambo haya ya mikataba yanazidi kututafuna wenzetu Iran miaka ya 1925 walikuwa wanalipwa 16% lakini sisi Tanzania miaka ya 2000 kwe madin tunalipwa 3% soo sad,sijajua huko kwe gesi na kwingineko........hata Pogba haya mambo hagusi yuko na mambo mengine tu ya kuongeza kodi kwe bidhaa ndogo ndogo.......ngoja twende tu pole pole!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…