isotaaaa
JF-Expert Member
- Sep 16, 2016
- 1,944
- 824
[emoji12][emoji108]
[emoji5]
[emoji132]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji12][emoji108]
[emoji5]
[emoji132]
hahahahahahahah...mkuuu...napita.....[emoji125]Katika yoooooote umeona hilo tu mkuu?[emoji15]
[emoji1] [emoji1] everything happen for a reason but sometimes it's better to know that reason behindMkuu leta ingine basi...
Afu naona Tz kama hakuna ajira....
Uchumi umeyumba! No bunge live..! bandari imedorora! Viwanda viko hovyo....
Sielewi elewi mkuu!
Kama naona CIA ,MOSSAD ,M16 na NSA...[emoji41][emoji41][emoji41]
Siku moja ningeomba utuwekee kuhusu Libya na Gaddafi kifo chake kiliniumiza sana nilikuwa namkubaliSawa Mkuu! Bila shaka..
I bet hukuumia kunizidi mimi.Siku moja ningeomba utuwekee kuhusu Libya na Gaddafi kifo chake kiliniumiza sana nilikuwa namkubali
Gaddafi walimfanyia vibaya sana hawa watu! Nitajitahidi niandae makala kumuhusu na kifo chake..Siku moja ningeomba utuwekee kuhusu Libya na Gaddafi kifo chake kiliniumiza sana nilikuwa namkubali
Mamangu huwa unawazimikia sana hawa maadui wa marekani.. Osama una makhaba nae, Gaddafi vile vile makhaba kede kede..I bet hukuumia kunizidi mimi.
Ile siku nilishindwa kula kabisa![emoji24] [emoji24]
Allah amuondoshee adhab za kabri
Aamiyn [emoji120]
Pole mpendwa hao wanaojiita vinara wa dunia wakikuzushia zengwe lazima wakutoe kwa propaganda zaoI bet hukuumia kunizidi mimi.
Ile siku nilishindwa kula kabisa![emoji24] [emoji24]
Allah amuondoshee adhab za kabri
Aamiyn [emoji120]
Shukrani sana The bold barikiwaGaddafi walimfanyia vibaya sana hawa watu! Nitajitahidi niandae makala kumuhusu na kifo chake..
Naomba siku utakayoachia hiyo makala hapa jukwaani make sure naisoma ukiwa karibu yangu kunicomfort.Gaddafi walimfanyia vibaya sana hawa watu! Nitajitahidi niandae makala kumuhusu na kifo chake..
Mkuu hata mie nilibaki nashangaa kwa hiyo hao wanaojiita FBI CIA ect kuna mengine maji yanazidi unga laiti ningeona hata ningeona picha nimpe heshima yakeHuwa ninavutiwa sana na makala zako The bold ,umenipunguzia sana kazi ya kutafuta taarifa mbalimbali za aina hii. Pia kila nisomapo habari za aina hii, kwangu Mimi si burudani Bali nakua nimepata assigment/mission mpya to accomplish.
Ila kati ya zote ambayo mpaka Sasa imenivuruga kabisa akili na kuanza kuhisi labda jamaa alikua na nguvu zaidi ya zile za kibinaadam, ni yule aliyetoweka kwenye ndege ambaye had I Leo hakupatikana. Kwangu Mimi huyu amenitoa knockout kabisa.
Much respects to you!!
mkuu hongera sana ila nami ninaombi moja kama utapata wasaaa andaa makala inayoelezea chimbuko na asili ya utawala wa kifame wa saud arabia ,Bado Mkuu! Nitafanyia kazi pendekezo.. Shukrani sana..
Nadhani sijawahi kukuambia kuwa Saddam Hussein nilikuwa namzimikia pia.Mamangu huwa unawazimikia sana hawa maadui wa marekani.. Osama una makhaba nae, Gaddafi vile vile makhaba kede kede..
Vipi unataka U.S wakunyime viza nini??
yatima hachagui mrezi .@nasubiri ya gaddafiGaddafi walimfanyia vibaya sana hawa watu! Nitajitahidi niandae makala kumuhusu na kifo chake..
I was just trying to relate the prevailling situations in Tz and the Iran history...[emoji1] [emoji1] everything happen for a reason but sometimes it's better to know that reason behind