Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

Status
Not open for further replies.
Mkuu leta ingine basi...

Afu naona Tz kama hakuna ajira....

Uchumi umeyumba! No bunge live..! bandari imedorora! Viwanda viko hovyo....

Sielewi elewi mkuu!

Kama naona CIA ,MOSSAD ,M16 na NSA...[emoji41][emoji41][emoji41]
[emoji1] [emoji1] everything happen for a reason but sometimes it's better to know that reason behind
 
The bold shukrani ila
Kila unapoleta story unapotea sana

Najua majukumu yanabana lakini jitahidi hata kila baada ya wiki mbili unashusha mzigo

Arosto
 
I bet hukuumia kunizidi mimi.
Ile siku nilishindwa kula kabisa![emoji24] [emoji24]

Allah amuondoshee adhab za kabri
Aamiyn [emoji120]
Mamangu huwa unawazimikia sana hawa maadui wa marekani.. Osama una makhaba nae, Gaddafi vile vile makhaba kede kede..

Vipi unataka U.S wakunyime viza nini??
 
'' Ukiona kinyago kinacheza ujue ndani Kina mtu '' Kuna kitu hapa nimejifunza, usione migogoro inayoendelea ktk nchi mbalimbali, ukawa mwepesi wa kuamini, kumbe hujui nyuma yake Kuna watu wameyasababisha ili kulinda maslai yao.
 
Huwa ninavutiwa sana na makala zako The bold ,umenipunguzia sana kazi ya kutafuta taarifa mbalimbali za aina hii. Pia kila nisomapo habari za aina hii, kwangu Mimi si burudani Bali nakua nimepata assigment/mission mpya to accomplish.
Ila kati ya zote ambayo mpaka Sasa imenivuruga kabisa akili na kuanza kuhisi labda jamaa alikua na nguvu zaidi ya zile za kibinaadam, ni yule aliyetoweka kwenye ndege ambaye had I Leo hakupatikana. Kwangu Mimi huyu amenitoa knockout kabisa.
Much respects to you!!
 
Gaddafi walimfanyia vibaya sana hawa watu! Nitajitahidi niandae makala kumuhusu na kifo chake..
Naomba siku utakayoachia hiyo makala hapa jukwaani make sure naisoma ukiwa karibu yangu kunicomfort.
Maana utatonesha kidonda kilichoanza kupoa [emoji24] [emoji24]
 
Huwa ninavutiwa sana na makala zako The bold ,umenipunguzia sana kazi ya kutafuta taarifa mbalimbali za aina hii. Pia kila nisomapo habari za aina hii, kwangu Mimi si burudani Bali nakua nimepata assigment/mission mpya to accomplish.
Ila kati ya zote ambayo mpaka Sasa imenivuruga kabisa akili na kuanza kuhisi labda jamaa alikua na nguvu zaidi ya zile za kibinaadam, ni yule aliyetoweka kwenye ndege ambaye had I Leo hakupatikana. Kwangu Mimi huyu amenitoa knockout kabisa.
Much respects to you!!
Mkuu hata mie nilibaki nashangaa kwa hiyo hao wanaojiita FBI CIA ect kuna mengine maji yanazidi unga laiti ningeona hata ningeona picha nimpe heshima yake
 
Bado Mkuu! Nitafanyia kazi pendekezo.. Shukrani sana..
mkuu hongera sana ila nami ninaombi moja kama utapata wasaaa andaa makala inayoelezea chimbuko na asili ya utawala wa kifame wa saud arabia ,

nataka kujua sana hawa watu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Mamangu huwa unawazimikia sana hawa maadui wa marekani.. Osama una makhaba nae, Gaddafi vile vile makhaba kede kede..

Vipi unataka U.S wakunyime viza nini??
Nadhani sijawahi kukuambia kuwa Saddam Hussein nilikuwa namzimikia pia.
Yaniiiiiii [emoji24] [emoji24] [emoji24]

Bae kwa haya majina yetu na Rais huyu wa sasa uliyekuwa ukimpigia chapuo tusahau US.
Watahisi haya ni magaidi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom