The Undisputed
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 204
- 330
Angekuwa anaongoza kwa mauzo ya kazi zake sasa, maana miaka yote watu wangekuwa wanasikiliza nyimbo zake kwa tafsiri yako ila hiko ulichosema sio uhalisiaTuweke ushabiki pembeni. Nyimbo za kiba zinaishi kuliko za mondi.
Zinaweza zisiwe hit songs lkn ni nzuri, zenye ujumbe murua. Zina maadili na zinasikilizika na rika lote.
Katrend kwenye page za udaku na sio kutrend kwa matukio ya kimuziki mfano mfupi tu unasema katrend zaidi kuliko wasanii wote lini uliwahi kusikia ametrend nje ya mipaka ya Tz?Kwenye hao top 5, harmonize ndo katrend sana
View attachment 2821682
page za udaku zinatazamwa hadi nje ya tz...Katrend kwenye page za udaku na sio kutrend kwa matukio ya kimuziki mfano mfupi tu unasema katrend zaidi kuliko wasanii wote lini uliwahi kusikia ametrend nje ya mipaka ya Tz?
Shida mnafocus na wasafi sana kuliko kutazama mambo yenu, hayo mashairi ya kujiliza kila kuwa mapenzi yanaumiza kila msanii anaweza na ndio maana upcoming yyte yule ngoma yake ya kwanza huwa ni kuhusu kuumizwa na mapenzi.Rayvanny nje ya WCB hana maajabu...
Harmonize kwenye kutunga mashairi[emoji91][emoji91][emoji91]Na ndiyo sababu pale usafini bado anawaumiza vichwa sana.
Ndio utaje lini harmonize umemuona kwenye headlines nje ya mipaka ya Tz??? Au huwausikii balaa la Mond na wa nigeria?page za udaku zinatazamwa hadi nje ya tz...
simtetei hata hivyo, mambo ya nje siyafahamu
Angekuwa anaongoza kwa mauzo ya kazi zake sasa, maana miaka yote watu wangekuwa wanasikiliza nyimbo zake kwa tafsiri yako ila hiko ulichosema sio uhalisia
Tukitaka nyimbo za maadili tunasikiliza kasida na injiriTuweke ushabiki pembeni. Nyimbo za kiba zinaishi kuliko za mondi.
Zinaweza zisiwe hit songs lkn ni nzuri, zenye ujumbe murua. Zina maadili na zinasikilizika na rika lote.
Kwa hiyo hadi hapo nadharia yako imekufaWengi tunapenda kusikiliza ujinga ujinga. Hii ndo sababu
Ni kweli.Kwa hiyo hadi hapo nadharia yako imekufa
Sawa kabisa😀Tukitaka nyimbo za maadili tunasikiliza kasida na injiri
🤣🤣🤣🤣Chino nini sijui
InapendezaNdio
Mwamba unajua kujenga hojaNdio utaje lini harmonize umemuona kwenye headlines nje ya mipaka ya Tz??? Au huwausikii balaa la Mond na wa nigeria?
Nenda ukurasa wa ig unaitwa topcharts wa Nigeria huwa wanatoa taarifa khsu celebrities wanaoongoza kuzungumziwa na kwenye mitandao, the whole East Africa ni Diamond pekee huwa anaongoza kutokea mara kwa mara kwenye huo ukurasa.
Page za udaku zinatazamwa hadi nje ya Tz, acha utani ndugu hv kuna page yyte ya udaku ya bongo ambayo ni maarufu nje ya mipaka ya Tz? Ingekuwa hivyo basi bongo tungekuwa tuna celebrities wengi wanaotambulika Africa
Wewe unaweza kuwa unampenda Kiba na nyimbo zake lakini soko la mziki linampenda mondi Ndio Maana unakuta diamond anaongoza zaidi kwa kuuza nyimbo zake kuliko wasanii wote wa tz mpaka kwenye viewers.Ukija kwenye mafanikio ya jumla Ndio msanii aliyofanikiwa zaidi hivi vyote haviji kwa bahati mbaya nikujua mahitaji ya soko yanataka nini na wewe ufanye niniWengi tunapenda kusikiliza ujinga ujinga. Hii ndo sababu
Nikupakie hapo kwa chinisio huyo muimba matusi
Kwani waigizaji sio wasanii..Hiyo ni kwa 2023 waliotrend. Na nimeongelea kwa wasanii tu
Diamond ni top celebrity kwa Tanzania na mtu kupinga ni aamue.Ndio utaje lini harmonize umemuona kwenye headlines nje ya mipaka ya Tz??? Au huwausikii balaa la Mond na wa nigeria?
Nenda ukurasa wa ig unaitwa topcharts wa Nigeria huwa wanatoa taarifa khsu celebrities wanaoongoza kuzungumziwa na kwenye mitandao, the whole East Africa ni Diamond pekee huwa anaongoza kutokea mara kwa mara kwenye huo ukurasa.
Page za udaku zinatazamwa hadi nje ya Tz, acha utani ndugu hv kuna page yyte ya udaku ya bongo ambayo ni maarufu nje ya mipaka ya Tz? Ingekuwa hivyo basi bongo tungekuwa tuna celebrities wengi wanaotambulika Africa