Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 545
- 1,191
Passenger trafficIngekua vizuri ukataja na idadi ya watu wanaohudumiwa kwa mwaka
Dodoma unaoitwa na Arusha Airport?Passenger traffic
1 Julius Nyerere International Airport Dar-es-salaam Dar es Salaam
2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar Zanzibar
3 Kilimanjaro International Airport
4 Mwanza Airport
5 Arusha Airport
6 Songwe Airport Mbeya
7 Bukoba Airport
8 Dodoma Airport
9 Lake Manyara Airport
10 Kigoma Airport
Hata Njiwa ni ndege pia!No. 1 - 3 ndio viwanja vya ndege, hivyo vingine ni viwanja vya njiwa.
Tz bado sana, pamoja na zile kelele za royal tour Ila Ukweli Ni kwamba bado sana.Passenger traffic
1 Julius Nyerere International Airport
Abiria 2,417,090
2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar
Abiria 1,406,300
3 Kilimanjaro International Airport
Abiria 897,708
Haya, kapande njiwa uende hapo Zanzibar.Hata Njiwa ni ndege pia!
cc instanbulPassenger traffic
1 Julius Nyerere International Airport Dar-es-salaam Dar es Salaam
2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar Zanzibar
3 Kilimanjaro International Airport
4 Mwanza Airport
5 Arusha Airport
6 Songwe Airport Mbeya
7 Bukoba Airport
8 Dodoma Airport
9 Lake Manyara Airport
10 Kigoma Airport
Dodoma imapitwaje na Bukoba?Passenger traffic
1 Julius Nyerere International Airport
Abiria 2,417,090
2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar
Abiria 1,406,300
3 Kilimanjaro International Airport
Abiria 897,708
4 Mwanza Airport
Abiria 399,054
5 Arusha Airport
Abiria 229,366
6 Songwe Airport Mbeya
Abiria 114,863
7 Bukoba Airport
Abiria 52,102
8 Dodoma Airport
Abiria 47,396
9 Lake Manyara Airport
Abiria 41,075
10 Kigoma Airport
Abiria 33,459
Kama Chato Airport haimo kwenye top ten, hiyo ripoti ni batili.Passenger traffic
1 Julius Nyerere International Airport
Abiria 2,417,090
2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar
Abiria 1,406,300
3 Kilimanjaro International Airport
Abiria 897,708
4 Mwanza Airport
Abiria 399,054
5 Arusha Airport
Abiria 229,366
6 Songwe Airport Mbeya
Abiria 114,863
7 Bukoba Airport
Abiria 52,102
8 Dodoma Airport
Abiria 47,396
9 Lake Manyara Airport
Abiria 41,075
10 Kigoma Airport
Abiria 33,459
Sijui.Dodoma imapitwaje na Bukoba?
Leta report na takwimu sio kujiandikia tu, Mwaka mwaka 2016 ilikuwa na abiria zaidi ya laki nne kwa mwaka, leo wastani wa abiria ndio ushuke hivyo alafu Mwanza ni ya pili baada ya Dar kwa kuwa na abiria wengi wa ndani acheni upotoshajiPassenger traffic
1 Julius Nyerere International Airport
Abiria 2,417,090
2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar
Abiria 1,406,300
3 Kilimanjaro International Airport
Abiria 897,708
4 Mwanza Airport
Abiria 399,054
5 Arusha Airport
Abiria 229,366
6 Songwe Airport Mbeya
Abiria 114,863
7 Bukoba Airport
Abiria 52,102
8 Dodoma Airport
Abiria 47,396
9 Lake Manyara Airport
Abiria 41,075
10 Kigoma Airport
Abiria 33,459
Hakuna kitu hapo kafoji tu data, no uhalisia, aweke link au aweke chanzo cha data zake, tuone abiria wa ndani na wa nje.
Chato tumeshabadili matumizi, tunaanikia mahindi.Kama Chato Airport haimo kwenye top ten, hiyo ripoti ni batili.
Data ni za zamani lakini kitu kama 2017Bongo bado sana!