Top Ten viwanja vya ndege vinavyohudumia Abiria wengi Tanzania

Top Ten viwanja vya ndege vinavyohudumia Abiria wengi Tanzania

Dodoma imapitwaje na Bukoba?
Endeleeni kuwaita watu wa Bukoba maskini nyinyi na NBS yenu...

Takwimu za mwisho za kiwilaya Bukoba ndo Wilaya ilivyokuwa na idadi kubwa ya watu wenye Kipato Tanzania hii na idadi ndogo sana ya maskini. Hii ilikuwa 2005 mara ya mwisho research ya kiwilaya kufanyika

Screenshot_20240217-125304.png
 
Leta report na takwimu sio kujiandikia tu, Mwaka mwaka 2016 ilikuwa na abiria zaidi ya laki nne kwa mwaka, leo wastani wa abiria ndio ushuke hivyo alafu Mwanza ni ya pili baada ya Dar kwa kuwa na abiria wengi wa ndani acheni upotoshaji
View attachment 2946823
Kwenye mwanza naunga mkono hoja MAANA last born wetu na familia yake wanasafir safir Sanaaa DAR-MZA go & return hapo Nina A,B,C
 
Kwenye mwanza naunga mkono hoja MAANA last born wetu na familia yake wanasafir safir Sanaaa DAR-MZA go & return hapo Nina A,B,C
Hakuna cha KIA hapo Airport ya Mwanza sio international lakini inawajambisha kwa abiria wa ndani Mwnza haijawahi kutoka top two, Mwandishi kaandika kuibeba Kilimanjaro.
 
Passenger traffic

1 Julius Nyerere International Airport Dar-es-salaam Dar es Salaam

2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar Zanzibar

3 Kilimanjaro International Airport

4 Mwanza Airport

5 Arusha Airport

6 Songwe Airport Mbeya

7 Bukoba Airport

8 Dodoma Airport

9 Lake Manyara Airport

10 Kigoma Airport
Umesahau: Msoga airport iko ndani ya 10 bora
 
Endeleeni kuwaita watu wa Bukoba maskini nyinyi na NBS yenu...

Takwimu za mwisho za kiwilaya Bukoba ndo Wilaya ilivyokuwa na idadi kubwa ya watu wenye Kipato Tanzania hii na idadi ndogo sana ya maskini. Hii ilikuwa 2005 mara ya mwisho research ya kiwilaya kufanyika

View attachment 2946824
Ndugu, wapi nimewaita watu wa Bukoba kuwa maskini?.
 
Passenger traffic

1 Julius Nyerere International Airport Dar-es-salaam Dar es Salaam

2 Abeid Amani Karume International Airport Zanzibar Zanzibar

3 Kilimanjaro International Airport

4 Mwanza Airport

5 Arusha Airport

6 Songwe Airport Mbeya

7 Bukoba Airport

8 Dodoma Airport

9 Lake Manyara Airport

10 Kigoma Airport
source of info?
 
Back
Top Bottom