Top Ten ya majiji tajiri zaidi Afrika 2022, Nairobi namba 5, Dar es Salaam haimo

View attachment 2365572



Hili mi ndo linaniuma roho sana kwamba volume ya mizigo katik bandari zetu zote mpaka zenji haziifikii mombasa portπŸ˜₯πŸ˜₯πŸ˜₯
Kama Vifaranga tuu tumeshindwa kujitosheleza sembuse mzigo wa Bandari ?

Tanzania tunachoweza ni mdomo,kupigana miti,ushabiki wa Yanga na Simba na uchawi mambo ya msingi hakuna.
 
Huo utajiri wamepima nini ..GDP au idadi ya mabilionea na mamilionea
 
Kama Vifaranga tuu tumeshindwa kujitosheleza sembuse mzigo wa Bandari?

Tanzania tunachoweza ni mdomo,kupigana miti na uchawi mambo ya msingi hakuna.
Sisi kwa Kenya bado sana hilo lipo wazi ,sisi tunapenda kuleta ujuaji sana kila sehemu hao ndo wasomi wetu kupiga picha kweny magorofa tu. Kenya kanchi kadogo watu wachache Wana bajeti kubwa kuliko sisi Nairobi Kuna Matajiri wengi sana kuliko dar hata hayo majiji yetu mengi hayaeleweki yaani bongo balaa tupu.
 
Kwa Mujibu wa Africa Facts zone,Dar inashika namba 11 na haimo kwenye List ya Majiji 10 Tajiri zaidi Afrika..

Source-Africa Wealth Report 2022.

List kamili hii hapa πŸ‘‡
Dar es Salaam imekua sana kipindi cha Mwinyi- Mkapa - Kikwette. Majengo mzuri na marefu, barabara nzuri na za kisasa na makazi ya watu yalijengwa kipindi hicho. Kama Magufuli asingekuja mwaka 2015 na kukimbiza makao Makuu Dodoma, sasa hiv Dar es Salaam ingekuwa kwenye top 5 ya big/ best cities in Africa sambamba na Joburg, Cairo, Lagos na Capetown.. Maamuzi ya kuhamia Dodoma ndiyo yalirudisha nyuma ukuaji wa Dar es Salaam
 
Wala sio kuhamia Dom bali real sector ilikufa Kifo cha Mende kwa sera mbovu za Mwendazake..

Taratibu saizi inaanza kujikongoja upya.πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20220923-124532.png
    83.7 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220923-124949.png
    87.8 KB · Views: 11
Kwa Mujibu wa Africa Facts zone,Dar inashika namba 11 na haimo kwenye List ya Majiji 10 Tajiri zaidi Afrika..

Source-Africa Wealth Report 2022.

List kamili hii hapa πŸ‘‡
Hawa wanao rate haya majiji mara waisifie kuwa ipo ndani ya 10 mara waiteme yani kizungumkuti tupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…