Top Ten ya majiji tajiri zaidi Afrika 2022, Nairobi namba 5, Dar es Salaam haimo

Top Ten ya majiji tajiri zaidi Afrika 2022, Nairobi namba 5, Dar es Salaam haimo

Attachments

  • Screenshot_20220923-124949.png
    Screenshot_20220923-124949.png
    87.8 KB · Views: 5
Kwa Mujibu wa Africa Facts zone,Dar inashika namba 11 na haimo kwenye List ya Majiji 10 Tajiri zaidi Afrika..

Source-Africa Wealth Report 2022.

List kamili hii hapa 👇
HAO NI WAKENYA WANACHAPISHA UPUUZI HUU KATIKA KUONESHA NJE AU NGAMBO KWAMBA WAKO BORA "THATS NOT TRUE AT ALL" kwanza SQM ZA JIJI LA NAIROBI AIBU TUPU, SAME TU WILAYA YA ILALA,KABLA CHANIKA HAIJAWA ILALA.
 
Dar es Salaam imekua sana kipindi cha Mwinyi- Mkapa - Kikwette. Majengo mzuri na marefu, barabara nzuri na za kisasa na makazi ya watu yalijengwa kipindi hicho. Kama Magufuli asingekuja mwaka 2015 na kukimbiza makao Makuu Dodoma, sasa hiv Dar es Salaam ingekuwa kwenye top 5 ya big/ best cities in Africa sambamba na Joburg, Cairo, Lagos na Capetown.. Maamuzi ya kuhamia Dodoma ndiyo yalirudisha nyuma ukuaji wa Dar es Salaam

Acha kumsingizia Magufuli kila kitu.

Kwa hiyo serikali ndo ingejenga hayo majengo?

Barabara za Dar zimejengwa sana wakati wa Magufuli. Sie huku mbagala ndani kabisa lami inapita.
 
Duuh kwamba Addis Ababa haipo yani sisi hatukutakiwa kuwa hata kwenye hiyo nafasi tena nahisi tumepitwa hadi na miji kama Kigali na Lusaka
 
Acha kumsingizia Magufuli kila kitu.

Kwa hiyo serikali ndo ingejenga hayo majengo?

Barabara za Dar zimejengwa sana wakati wa Magufuli. Sie huku mbagala ndani kabisa lami inapita.
Aliua mazingira ya uwekezaji binafsi ikiwemo ku discourage sekta ya real estate..

Kama investors walikimbia,kakatelekeza hata kule Kigamboni,NHC ikafa,Miradi ya Majengo ikasimama nk kwa sababu ya Magufuli..

Hasingiziwi ndio ukweli huo,baada ya kuingia Samia unaona sasa hata Yale majengo ya Posta yanamaliziwa,NHC imerudi tena na private companies zimeanza kurudi..

Samia akiongoza hadi 2030 basi Miji yetu itafika mbali Sana.
 
Hapa kuna vitu vinachanganywa ndio maana kuna jamaa kasema wabongo wanachonga sana lakini uelewa wao ni sifuri. List ilioletwa hapo ambayo Dar haipo kwenye top 10 ni ya majiji tajiri barani Africa. Wachangiaji wanashangaa ni vipi Nairobi imeipita Dar.
Kweli kwa majiji tajiri kwa africa lazima tukubali Nairobi ni zaidi ya Dar kwa sababu wameangalia ukwasi wa matajiri wanaoishi kwenye hio miji. Matajiri wengi wa Nairobi ni wasomi na wanaofanya biashara zinazoeleweka na ni kweli wako wengi zaidi kuliko Dar Es Salaam. Matajiri wengi wa bongo ni wa janja janja hivyo hawako kwenye hesabu kama wa miji mingine hio iliopo kwenye top 10. Inshort, Dar ina vitajiri uchwara.
Kwa ukubwa na ukuaji wa jiji kimajengo na idadi ya watu Dar ni zaidi ya Nairobi na imo kwenye top 5 barani Africa. Watu wasichanganye vitu hapa, na Wasimsingizie JPM kua kwa kuhamishia makao Dodoma alilidhoofisha jiji la Dar nope! Kwanza ni yeye ndie alielifanya likafanana fanana na hayo majiji mengine otherwise lingekua ni kijiji kilichochangamka. Hio list iko sawa kabisa kwa utajiri wa majiji Nairobi iko juu sana kuliko Dar.
 
Back
Top Bottom