Dar hii hii amboyo 80% ni squatter ufananishe na Joburg ?Dar es Salaam imekua sana kipindi cha Mwinyi- Mkapa - Kikwette. Majengo mzuri na marefu, barabara nzuri na za kisasa na makazi ya watu yalijengwa kipindi hicho. Kama Magufuli asingekuja mwaka 2015 na kukimbiza makao Makuu Dodoma, sasa hiv Dar es Salaam ingekuwa kwenye top 5 ya big/ best cities in Africa sambamba na Joburg, Cairo, Lagos na Capetown.. Maamuzi ya kuhamia Dodoma ndiyo yalirudisha nyuma ukuaji wa Dar es Salaam