Benaya-
JF-Expert Member
- Jul 31, 2019
- 4,415
- 7,631
Kuna mambo mambo mawili na mojawapi litakuwa kweli;We nae Dar huijui vizuri... Nairobi inaizidi Dar ndio lakini sio kiasi unachosema wewe. Kasome
1. Hujafika Nairobi au
2. Uliwahi kuugua kichaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mambo mambo mawili na mojawapi litakuwa kweli;We nae Dar huijui vizuri... Nairobi inaizidi Dar ndio lakini sio kiasi unachosema wewe. Kasome
Takwimu kama hizi hutoa taswira ambayo haina uhalisia. Mji unaweza kuwa na mabilionea wengi sana lakini idadi yao ni ndogo sana ukilinganisha na wale ambao hawana hata sumni. Hivyo unachukua idadi ya pesa zilizopo Jiji Hilo, halafu unazigawa na idadi ya watu waishio humo na namba unayoipata unasema ndio pato la kila mwananchi aishiye Jiji husika. Ukweli ni kwamba pesa utakayoipata inaonesha pengo lililopo kati ya wale walionacho na wale ambao hawana kitu kabisa. Takwimu ni kama zile nguo za bikini. Inachoonyesha ni muhimu lakini inachoficha ni cha muhimu zaidi.Unaijua Kenya na Nairobi kiujumla 🙄🙄🙄Kuna mengi nikiyaleta humu itabaki umeduwaa!!!
Kama Vifaranga tuu tumeshindwa kujitosheleza sembuse mzigo wa Bandari ?
Tanzania tunachoweza ni mdomo,kupigana miti,ushabiki wa Yanga na Simba na uchawi mambo ya msingi hakuna.
Dar es Salaam imekua sana kipindi cha Mwinyi- Mkapa - Kikwette. Majengo mzuri na marefu, barabara nzuri na za kisasa na makazi ya watu yalijengwa kipindi hicho. Kama Magufuli asingekuja mwaka 2015 na kukimbiza makao Makuu Dodoma, sasa hiv Dar es Salaam ingekuwa kwenye top 5 ya big/ best cities in Africa sambamba na Joburg, Cairo, Lagos na Capetown.. Maamuzi ya kuhamia Dodoma ndiyo yalirudisha nyuma ukuaji wa Dar es Salaam
Niko Dar kuanza mwaka 1979. Na wewe mpumbavu ulikuja lini?acha upimbi wewe ngamia,dar umekuja lini!!!
uliza tuliokuwepo kabla ya jamaa yako jakaya kukuleta na gari lake la majani ya ng'ombe dsm.
Unaumiaje roho wakati kuna nchi nyingi suniani hawaijui hata tanzania kama ipo duniani..inshort sisi bado wachanga tunajikongoja taratibuuuuView attachment 2365572
Hili mi ndo linaniuma roho sana kwamba volume ya mizigo katik bandari zetu zote mpaka zenji haziifikii mombasa port😥😥😥
Sidhani kama data zinaukweli hizi au lah ni kosa letu hatuweki data nyingi sana hadharani..Kwa Mujibu wa Africa Facts zone, Dar inashika namba 11 na haimo kwenye List ya Majiji 10 Tajiri zaidi Afrika.
Source-Africa Wealth Report 2022.
List kamili hii hapa 👇
View attachment 2365759
Nani wa kulaumiwa?View attachment 2365572
Hili mi ndo linaniuma roho sana kwamba volume ya mizigo katik bandari zetu zote mpaka zenji haziifikii mombasa port😥😥😥
Nafikiria palitakuwa kutengwa port hata ya mtwara na kufanyiwa promo ili kuwapokea migizo mikubwaNani wa kulaumiwa?
Luanda pamejengwa sana lakin hizo nyumba nyingi ni Ghost City mkuu. Wachina wamejenga Kwa mkopo halafu kulitokea matatizo flan wakat wa ubadilishaji wa serikali.Luanda City pande za Angola kama Mbele tuu huko 👇
Labda kichaa cha babako... Nairobi unaona kufika maajabu wakati mwenzio kila mwezi nipo huko. Haya KQ jiridhishe kama KQ wanaenda kwenu Nanyumbu.. ukibisha tena nakuwekea boarding pass au hotel booking kabisa uone mi si mwenzio jombaa sehemu ambazo naenda Nairobi we hata kukanyaga unatimuliwa fasta. We hata fogo gaucho huijui unadhani unaijua Nairobi kuliko mimiKuna mambo mambo mawili na mojawapi litakuwa kweli;
1. Hujafika Nairobi au
2. Uliwahi kuugua kichaa
Labda kichaa cha babako... Nairobi unaona kufika maajabu wakati mwenzio kila mwezi nipo huko. Haya KQ jiridhishe kama KQ wanaenda kwenu Nanyumbu.. ukibisha tena nakuwekea boarding pass au hotel booking kabisa uone mi si mwenzio jombaa sehemu ambazo naenda Nairobi we hata kukanyaga unatimuliwa fasta
View attachment 2396923
Mkuu ficha hizo number mkuu
Only fools think that the data above was manipulated by Kenyans. Yaani uibe mtihani alafu badala ujiweke wa kwanza, ujiweke nafasi ya tano. Wakenya hata hawajilinganishi na Dar they are aiming Johannesburg Cairo and other big cities, while you are there thinking they have time to manipulate data and put themselves at position 5and Dar at position 11
Midwits
UTAJIRI WA KITU GANI? UTAJIRI WA WATU, MAJENGO, REPORT FAKE YA AJABU HII.Kwa Mujibu wa Africa Facts zone, Dar inashika namba 11 na haimo kwenye List ya Majiji 10 Tajiri zaidi Afrika.
Source-Africa Wealth Report 2022.
List kamili hii hapa 👇
View attachment 2365759
unajua maan ya 'aiming'?Ha ha ha! Eti J’burg porojo gani hizi.!
Kitu watu wasichojua ni kuwa kati 10 most worst slums in afrika 4 are in Nairobi,kwa afrika mashariki Nairobi ndo mji wenye street children and omba omba wengi kuliko mji wowote ule hadi hii leo 2023 Nairobi bado kuna nyumba nyingi tu za tope,hapo sijazungumzia usafi Kwa majiji yaliyotuzunguka Tz, Nairobi ndo jiji chafu kuliko yote,ukija kwenye hali za maisha zaid ya 80% ya wakazi wa Nairobi wanaish kwenye nyumba za kupanga kwa maisha yao yote yaan mtu anazaliwa hadi anakufa ni mpangaji,Kwa mtu ambaye hajawahi kufika Nairobi anaweza kubabaishwa sana na hii taarifa. Kiukweli Nairobi ni jiji lililojaa maskini wengi huku idadi kubwa ya wakazi wake wengu wanaishi maisha duni mnoo.
Wakenya ni mafundi wakubwa wa kutengeneza au kukuza taarifa zenye mwelekeo chanya kwao. Na kwa kuwa watanzania wengi ni 'washamba wa taarifa' (hawana exposure tofauti tofauti wala hawataki kupanua wigo wa kuchambua taarifa zinazoletwa machoni pao) ni rahisi mnoo kubebwa na taarifa yoyote.
Kwangu mimi katika ukanda huu wa Afrika mashariki na nchi zote zinazoizunguka Tanzania, hakuna jiji bora kama Dar ikiwa tutapima kwa vigezo vya:
-Miundo mbinu
-huduma muhimu za kijamii.
-muingiliano wa kimaisha
-Ubora wa Makazi na majengo.
-Usafiri wa umma
-Mandhari.
Aliyewahi kusema Bongo sihami ng'o huenda alikuwa sahihi sana. Bongo tamu kwa kila mtu. Sio maskini wala sio tajiri wote wanakula raha.