Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ndio tunataka taarifa za kichambuzi kama hizi JF. Sio mtu anaamka tu na kutoa yake kichwani bila source yoyote anakuja na kichwa "tafiti niliyofanya kuhusu.........." Ukimuuliza source ya data zako anakwambia fanya na wewe tafiti utaona.
Turudi kwenye mada, nchi imepanuka mkuu siku hizi watu hawajali saana kukimbilia mijini kama ilivyokua zamani zaidi zaidi wengi wanarudisha mpira kwa kipa(wanarudi mikoa waliyokulia kama miji waliyoenda kusaka ugali imewatupa mkono ama lah wanazidi jichimbia mikoa mingine sio dar dar dar tu.)

Kabisa mkuu huduma za kijamii walau zimesogezwa sasa hivi watu hawana shauku kubwa ya kwenda dar kwasababu mikoa mingi imeendelezwa.🙏🙏 Upatikanaji wa umeme na huduma zingine za msingi kijijini kunafanya kasi ya kuhamia mijini kupungua.