Top ten ya Mikoa inayoongoza kuchangia pato la Taifa

Top ten ya Mikoa inayoongoza kuchangia pato la Taifa

Geita itakuwa hot cake siku za usoni maana wawezaji wazawa wanajenga hadi viwanda vya kusafisha madini,safi sana
 
Juzi Kati hapo gavana wa BOT aliipamba Kanda ya ziwa kwamba inachangia 25.9% kwenye Pato la Taifa.

Swali ni chapisho gani linaonesha hizo takwimu? Hakuna Takwimu zozote za kikanda maana kanda zenyewe haziko rasmi . Takwimu zilizopo ni za Mikoa .

Inge make sense kama angetuwekea Takwimu za kila mkoa badala ya blaa blaa za kisiasa
 
Ndo unakuja kushangaa tena halmashaur za mwisho kwenye kuchangia pato la taifa inatoka kwenye namba 4 hapo juu, ambayo ni wilaya ya itilima iliyoppo mkoan simiyu yaan hapo ya NNE kwenye uchangiaj wa mapaato ila ukija kwa halmashauri yake unkuta ni ya mwisho kitaifa
 
Hueleweki mkuu ,usiandike huku unatekenywa
 
Hueleweki mkuu ,usiandike huku unatekenywa
Umeandika namba 4 simiyu inachangia pato la taifa lkn ukija halmashauri ya mwisho inayoburuza mkia kwa mapato kitaifa inatokea hukoko simiyu ambayo ni itilima, hujaelewa nn hapo sasa
 
Umeandika namba 4 simiyu inachangia pato la taifa lkn ukija halmashauri ya mwisho inayoburuza mkia kwa mapato kitaifa inatokea hukoko simiyu ambayo ni itilima, hujaelewa nn hapo sasa
Okay taarifa niliyotumia kutoka NBS haikuweza kutenganisha mikoa hiyo 2,inamaana ingetenganisha mkoa wa Shinyanga usingekuwepo
 
Kwa mwaka 2020 Hali haijabadilika, Takwimu hizi hapa 👇

Screenshot_20210722-074318.png

Screenshot_20210722-074252.png
 
Baada ya Kanda ya Ziwa kutawala kwenye sekta ya Madini,Kanda ya Nyanda za Juu Kusini yaingia kwa kishindo kwenye uchumi wa madini.

Migodi mikubwa kuanza uzalishaji sanjali na ujenzi wa viwanda vya uchakataji.👇

Screenshot_20210802-102855.png

Screenshot_20210802-102943.png

Screenshot_20210802-103023.png
 
Back
Top Bottom