Top ten ya Mikoa inayoongoza kuchangia pato la Taifa

Ndio tunataka taarifa za kichambuzi kama hizi JF. Sio mtu anaamka tu na kutoa yake kichwani bila source yoyote anakuja na kichwa "tafiti niliyofanya kuhusu.........." Ukimuuliza source ya data zako anakwambia fanya na wewe tafiti utaona.

Turudi kwenye mada, nchi imepanuka mkuu siku hizi watu hawajali saana kukimbilia mijini kama ilivyokua zamani zaidi zaidi wengi wanarudisha mpira kwa kipa(wanarudi mikoa waliyokulia kama miji waliyoenda kusaka ugali imewatupa mkono ama lah wanazidi jichimbia mikoa mingine sio dar dar dar tu.)
🙏🙏 Upatikanaji wa umeme na huduma zingine za msingi kijijini kunafanya kasi ya kuhamia mijini kupungua.
Kabisa mkuu huduma za kijamii walau zimesogezwa sasa hivi watu hawana shauku kubwa ya kwenda dar kwasababu mikoa mingi imeendelezwa.
 
Tuendeleze kufungua nchi kwa kujenag mbiundombinu ya kutosha ili kuweza kukuza sekta zote kikimo, biashara,utalii,uwekezaji n.k
 
Tuendeleze kufungua nchi kwa kujenag mbiundombinu ya kutosha ili kuweza kukuza sekta zote kikimo, biashara,utalii,uwekezaji n.k
Hili ndio jambo la msingi ili tuweze kuyafikia masoko na kufanya kilimo chenye tija.Mikoa mingi na walaya zake bado zina changamoto kubwa sana miundombinu aisee.
 
Hii inaonyesha kumekua na maendeleo makubwa ya uchumi katika uwekezaji huko mikoani
Na haya ni matokeo ya Juhudi za kuboresha miundombinu muhimu kama barabara, reli, umeme, maji nk

Kazi iendelee
Malizia ulichotaka kusema ukaogopa,kuwa hayo ni matunda ya Kayafa.
 
You stupid swine, ww huwezi nijibu kikuda mm, pumbaf, dirty shithole. Naona unajibu watu kishenzi shenzi. Idiot
Ushakula kitu cha chuga unabwatuka hovyo.
Kwa taarifa yako Covid-19 bado ipo sana ,tegemea Arusha itashuka zaidi kimapato kwasababu ya kupungua kwa idadi ya watalii.
 
Ushakula kitu cha chuga unabwatuka hovyo.
Kwa taarifa yako Covid-19 bado ipo sana ,tegemea Arusha itashuka zaidi kimapato kwasababu ya kupungua kwa idadi ya watalii.
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13] Acha kuwanga mchana mkuu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…