Top Tools tunazotumia Victoria Agency company kufanya kazi zetu.

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,811
Reaction score
3,888

ChatGPT Image Aug 30, 2025, 11_05_41 PM.png

TSH Rates​

Kila siku TSH Rates inanipa foreign exchange rates za benki za Tanzania. Kama unafanya biashara kimataifa najua unajua umuhimu wa taarifa kama hii—kujua thamani ya fedha kunakupa uwezo wa kupanga bei zako vizuri na kuhakikisha haufanyi maamuzi ya kibiashara gizani.

Atlas​

Kupitia Atlas niliweza kusajili kampuni yangu SwahiliesPay 🇺🇸 bila hata kufika Marekani. Kitu hiki kimenifungua macho jinsi teknolojia inavyorahisisha mambo makubwa, ambayo zamani tulidhani huwezi kuyafanya bila kusafiri umbali mrefu.

DocuSign​

DocuSign imenisaidia kusaini deals na partners mbalimbali, mfano investors, bila hata kuonana nao uso kwa uso. Zile contract kubwa ambazo zamani zilihitaji safari ndefu na mikutano mirefu, sasa nakamilisha kwa click chache tu.

Brex​

Brex imenipa bank account ya biashara 🇺🇸 ingawa sijawahi kufika Marekani. Hii imenionyesha kuwa dunia ya kifedha imebadilika; kuendesha biashara ya kimataifa hakuhitaji uwepo wa kimwili tena, bali uwezo wa kutumia majukwaa ya kisasa.

Stempu​

Jana tu Stempu ilinisaidia mimi na mdogo wangu Prosper Absalom kutengeneza na kugonga muhuri kwenye bank documents zetu bila kununua muhuri wa physical kwa gharama kubwa. Ni mfano halisi wa jinsi digital solutions zinavyopunguza gharama na kuokoa muda.

Zoom & Google Calendar​

Zoom na Google Calendar zimenisaidia sana kufanya pitching na business calls za kimataifa. Bila hizi platforms, kungekuwa na vizuizi vingi vya muda na umbali.

ChatGPT​

ChatGPT imenisaidia sana kubrainstorm different business ideas. Pia mara nyingi huwa naitumia kurekebisha makosa ya uandishi wa Kiingereza (sisi wengine tumesoma Kayumba 😃).

Kuza Business​

Kuza Business inanisaidia kusimamia side hustle na small businesses zangu hapa 🇹🇿 hata ninapokuwa mbali nazo. Ni mfano wa jinsi digital platforms zinavyowezesha biashara ndogo kukua na kudumu bila changamoto kubwa za management.

ReadAI​

Nikiingia kwenye online meeting, ReadAI huwa naiset kama assistant, na inanisaidia kutake notes zote za meeting husika. Baada ya mkutano, inaniletea ripoti safi moja kwa moja.

Slack​

Mara ya kwanza groups zangu zote za kikazi zilikuwa WhatsApp, lakini tulipoamua kuhamia Slack, productivity ikaongezeka mara 10. Slack imetengeneza mazingira ya kazi yaliyo organized, yenye focus na yenye tools za kushirikiana vizuri.

Clay​

Clay ni AI tool niliyounganisha na accounts zangu za LinkedIn, X, na emails. Kupitia ChatGPT, naweza kuiuliza chochote kuhusu my network and emails instantly.

Google Tasks​

Google Tasks inanisaidia kila siku. Siwezi kuanza siku bila kulist vitu ninavyotakiwa kufanya siku husika. Ni habit ndogo lakini yenye impact kubwa sana kwenye productivity.

Simu yangu (40+ Productivity Apps) Simu yangu kwa sasa ina zaidi ya productivity apps 40+. Kila moja inanisaidia kwa namna yake tofauti. Nikipata muda, nitaendelea kuandika na kushare zingine hapa. Pin this thread, maana safari ya kujifunza digital tools haina mwisho.
 
View attachment 3459186​

Asante kwa kushare nasi...
 
Ngoja nipakue ile pale niishi nayo
 
Back
Top Bottom