ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Maisha Yana story ndefu,
Nilipenda kusoma science, sema nilikutana na matopic magumu sikuchelewa kukimbia.
Kwanza namlaumu huyo aliyetunga topic ya maths ya LOGARITHMS 😅 Aisee hili jiwe me teacher akifundisha natoka kapa.
Sijui kutumia four figure me kusoma sijui ndo manamba naona sielewi chochote.
Physics kulikuwepo hiyo topic inaitwa electronics, basi hili jiwe lilikuwa limepinda yani huko mwisho sijui utumie four figure nikaona huu utumbafu wa Nini.
Nikajiunga Moja Kwa Moja Masomo ya arts nikasoma HGL pale semirini safi kabisa.
Tupe story ya topic ngumu kwako