Topics gani zilikutoa jasho, kipindi unasoma shule?

Topics gani zilikutoa jasho, kipindi unasoma shule?

National income ,, asee nilikuja kuielewa first year wakati wa sup,,,

kuna pimbi mmoja alikuwa anaitwa doctar jo ,,, yule jamaa kwenye EC 117 wakati anafundisha anafundisha simple kweli kweli ,,, ngoma U.E ,, aisee mbaka nikajiuliza kweli hivi vitu tulisoma darasani kweli ??,,,

Paper ni ya masaa 3 lakini mbaka wanasema tumebakiwa na nusu saa paper iishe ,,, kidume ukiacha maswali ya kuchagua na machache niliyojikanyaga kanyaga ,, mengine yote kama calculation na explanations hakuna nilichojibu,,,, japo kulikuwa na Ac venue tuliofanyia ,,, kidume nikaona jasho zinanitoka,, moyo nikajisema nimekwisha,,

Uzuri wakati wa sup ,,, nusu ya darasa tulirudi kupiga paper tena ,,, hapo nikajiona kumbe mimi siyo kilaza sanaa
mbaka?
 
Maisha Yana story ndefu,

Nilipenda kusoma science, sema nilikutana na matopic magumu sikuchelewa kukimbia.

Kwanza namlaumu huyo aliyetunga topic ya maths ya LOGARITHMS 😅 Aisee hili jiwe me teacher akifundisha natoka kapa.

Sijui kutumia four figure me kusoma sijui ndo manamba naona sielewi chochote.

Physics kulikuwepo hiyo topic inaitwa electronics, basi hili jiwe lilikuwa limepinda yani huko mwisho sijui utumie four figure nikaona huu utumbafu wa Nini.

Nikajiunga Moja Kwa Moja Masomo ya arts nikasoma HGL pale semirini safi kabisa.

Tupe story ya topic ngumu kwako
Double integration ,Laplace transformation.
 
Pure Mathematics hapo Advanced level kuna topic moja inaitwa "Differential Equations"

Hio inaitwa mama mkanye mwanao.
Hakuna topic niliyokuwa naipenda kama hii, ikifuatiwa na calculus, hyperbolic functions, matrices na probability. Ilikuwa nikikuta swali la differential equation kwenye paper nalifanya kwa njia mbili tofauti halafu nasepa. Thank you teachers wangu wa Maths popote mlipo.
 
Maisha Yana story ndefu,

Nilipenda kusoma science, sema nilikutana na matopic magumu sikuchelewa kukimbia.

Kwanza namlaumu huyo aliyetunga topic ya maths ya LOGARITHMS 😅 Aisee hili jiwe me teacher akifundisha natoka kapa.

Sijui kutumia four figure me kusoma sijui ndo manamba naona sielewi chochote.

Physics kulikuwepo hiyo topic inaitwa electronics, basi hili jiwe lilikuwa limepinda yani huko mwisho sijui utumie four figure nikaona huu utumbafu wa Nini.

Nikajiunga Moja Kwa Moja Masomo ya arts nikasoma HGL pale semirini safi kabisa.

Tupe story ya topic ngumu kwako
what is ccm
 
Back
Top Bottom