Topics gani zilikutoa jasho, kipindi unasoma shule?

National income ,, asee nilikuja kuielewa first year wakati wa sup,,,

kuna pimbi mmoja alikuwa anaitwa doctar jo ,,, yule jamaa kwenye EC 117 wakati anafundisha anafundisha simple kweli kweli ,,, ngoma U.E ,, aisee mbaka nikajiuliza kweli hivi vitu tulisoma darasani kweli ??,,,

Paper ni ya masaa 3 lakini mbaka wanasema tumebakiwa na nusu saa paper iishe ,,, kidume ukiacha maswali ya kuchagua na machache niliyojikanyaga kanyaga ,, mengine yote kama calculation na explanations hakuna nilichojibu,,,, japo kulikuwa na Ac venue tuliofanyia ,,, kidume nikaona jasho zinanitoka,, moyo nikajisema nimekwisha,,

Uzuri wakati wa sup ,,, nusu ya darasa tulirudi kupiga paper tena ,,, hapo nikajiona kumbe mimi siyo kilaza sanaa
National income ilinitesa Sana, Na GDP, GNP dah!
 
Maisha Yana story ndefu,

Nilipenda kusoma science, sema nilikutana na matopic magumu sikuchelewa kukimbia.

Kwanza namlaumu huyo aliyetunga topic ya maths ya LOGARITHMS 😅 Aisee hili jiwe me teacher akifundisha natoka kapa.

Sijui kutumia four figure me kusoma sijui ndo manamba naona sielewi chochote.

Physics kulikuwepo hiyo topic inaitwa electronics, basi hili jiwe lilikuwa limepinda yani huko mwisho sijui utumie four figure nikaona huu utumbafu wa Nini.

Nikajiunga Moja Kwa Moja Masomo ya arts nikasoma HGL pale semirini safi kabisa.

Tupe story ya topic ngumu kwako
O LEVEL
⭐Survey
⭐Circle

A LEVEL
⭐Organic
⭐Chemical Kinetics
Nilikuja kuzielewa mwishoni kabisa halafu ni simple tu 😁
 
Maisha Yana story ndefu,

Nilipenda kusoma science, sema nilikutana na matopic magumu sikuchelewa kukimbia.

Kwanza namlaumu huyo aliyetunga topic ya maths ya LOGARITHMS 😅 Aisee hili jiwe me teacher akifundisha natoka kapa.

Sijui kutumia four figure me kusoma sijui ndo manamba naona sielewi chochote.

Physics kulikuwepo hiyo topic inaitwa electronics, basi hili jiwe lilikuwa limepinda yani huko mwisho sijui utumie four figure nikaona huu utumbafu wa Nini.

Nikajiunga Moja Kwa Moja Masomo ya arts nikasoma HGL pale semirini safi kabisa.

Tupe story ya topic ngumu kwako
Kulikuwa na topic ya "Three Dimensional Geometry " form IV Mathematics. Nina A ya Mathematics level zote lkn sijawahi kuelewa ile topic.
 
Maisha Yana story ndefu,

Nilipenda kusoma science, sema nilikutana na matopic magumu sikuchelewa kukimbia.

Kwanza namlaumu huyo aliyetunga topic ya maths ya LOGARITHMS 😅 Aisee hili jiwe me teacher akifundisha natoka kapa.

Sijui kutumia four figure me kusoma sijui ndo manamba naona sielewi chochote.

Physics kulikuwepo hiyo topic inaitwa electronics, basi hili jiwe lilikuwa limepinda yani huko mwisho sijui utumie four figure nikaona huu utumbafu wa Nini.

Nikajiunga Moja Kwa Moja Masomo ya arts nikasoma HGL pale semirini safi kabisa.

Tupe story ya topic ngumu kwako
Shule level gani; Chekechea, Kindergaten, Primary School, Secondary School, High School, Law School, Business School, Engineering School, Medical School, Fine and Visual Arts School, Graduate School,..................................

Kila levo ina topic zake
 
Level yoyote mkuu
 
Physics form one, topic jina siikumbuki ila swali linakuja kanuni ni Mass B minus mass A. Kivumbi ni ipi mass A na kwa nini na ni ipi mass b na kwa nini. We niliichukia physics mpaka leo japo Necta nina credit pass aisee.
 
Back
Top Bottom