darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Nimepitia threads mbali mbali za vijana wa mikoani(vijijini) wakijinasibu kwa kula vyakula vigumu, eti vinatia nguvu (!?) ikiwemo za kiume huku wakitulalamikia eti wanaume wa Dar hatuna nguvu(wanaolalamika wanaume lakini) wana insist chakula cha chips.Dar kuna vyakula vingi mfano ugali sembe,pilau,wali,biriani,pweza,samaki,ngisi,chapati,kahawa,chips,kuku,mayai,dagaa kamba,matembele,sukuma wiki,mnafu n.k. Amini nakwambia kama uko kijijini unashindia michembe,kichuli,dagaa,fulu,mbege,komoni na kende za mbuzi toroka uje mjini ufaidi maisha.Toroka haraka uje mjini..
1.Vyakula vya Mjini
pilau
Pweza na supu yake na limao pembeni
viazi vya kuaanga/chips
biriani
kabab
mishikaki
Samaki wa baharini aina ya ngulu,tango na kitunguu
ugalu samaki
VS
2.Vyakula vya kijijini
ugali wa udaga
Dona,bamia,mwziwa
Michembe
1.Vyakula vya Mjini
pilau
Pweza na supu yake na limao pembeni
viazi vya kuaanga/chips
biriani
kabab
mishikaki
Samaki wa baharini aina ya ngulu,tango na kitunguu
ugalu samaki
VS
2.Vyakula vya kijijini
ugali wa udaga
Dona,bamia,mwziwa
Michembe