Toroka kijijini uje Dar

Toroka kijijini uje Dar

darcity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2009
Posts
9,101
Reaction score
18,055
Nimepitia threads mbali mbali za vijana wa mikoani(vijijini) wakijinasibu kwa kula vyakula vigumu, eti vinatia nguvu (!?) ikiwemo za kiume huku wakitulalamikia eti wanaume wa Dar hatuna nguvu(wanaolalamika wanaume lakini) wana insist chakula cha chips.Dar kuna vyakula vingi mfano ugali sembe,pilau,wali,biriani,pweza,samaki,ngisi,chapati,kahawa,chips,kuku,mayai,dagaa kamba,matembele,sukuma wiki,mnafu n.k. Amini nakwambia kama uko kijijini unashindia michembe,kichuli,dagaa,fulu,mbege,komoni na kende za mbuzi toroka uje mjini ufaidi maisha.Toroka haraka uje mjini..

1.Vyakula vya Mjini

7596662500_14c5208853_z.jpg

pilau
aid2001323-728px-Make-Fried-Octopus-Step-2.jpg
supu.jpg

Pweza na supu yake na limao pembeni

french-fries-.jpg

viazi vya kuaanga/chips
aid151863-728px-Make-Fried-Rice-Step-9-Version-2.jpg

biriani

Fried-Chicken-Kebab.jpg

kabab

Fried-Chicken-Kebab-Source-dishmaps.com__1424087590_61.12.83.43.jpg

mishikaki

pan-fried-salmon-cucumber-radish-salad.jpg

Samaki wa baharini aina ya ngulu,tango na kitunguu
maxresdefault.jpg

ugalu samaki

VS

2.Vyakula vya kijijini

udaga.jpg
ugali plaintain.jpg

ugali wa udaga

ugali bamia.jpg

Dona,bamia,mwziwa

mazao4.jpg

Michembe
 
Attachments

  • udaga.jpg
    udaga.jpg
    70.3 KB · Views: 132
  • pumbu.jpg
    pumbu.jpg
    65.9 KB · Views: 170
ngoja majamaa wa fursa waje walete matangazo yao ya nguvu ya kiume
 
Nimepitia threads mbali mbali za vijana wa mikoani(vijijini) wakijinasibu kwa kula vyakula vigumu, eti vinatia nguvu (!?) ikiwemo za kiume huku wakitulalamikia eti wanaume wa Dar hatuna nguvu(wanaolalamika wanaume lakini) wana insist chakula cha chips.Dar kuna vyakula vingi mfano ugali sembe,pilau,wali,biriani,pweza,samaki,ngisi,chapati,kahawa,chips,kuku,mayai,dagaa kamba,matembele,sukuma wiki,mnafu n.k. Amini nakwambia kama uko kijijini unashindia michembe,kichuli,dagaa,fulu,mbege,komoni na kende za mbuzi toroka uje mjini ufaidi maisha.Toroka haraka uje mjini..

1.Vyakula vya shamba
Waache hao wavaa ndala[emoji12] wanakula vyakula vigumu mpaka huko chini kufanye suguru[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kila kukichwa wanaolalamika na kuhusu wanaume wa dar ni hao wanaojiita wanaume wa mikoani huko...
Wanaume wa mikoani acheni kuingilia kazi za dada zenu. Hizo post walitakiwa waandike mademu... Ila mademu wamekunwa vizuuur wapo kimyaaa sasa cjui ninyi mna tatizo gan
 
Inakera mtoto wa kiume kumlalamikia mwanaume mwenzake kuwa hana nguvu za kiume,wakati kina dada hawalalalmiki.
Wangekuwa hawalalamiki msingekuwa mnakimbizana kwa wakina Dr Mwaka
 
siye wa dar tukienda kijijini tunawagonga dada zao kwa swagga za mjini tu
ahahah kila dakika watajifanya wanakuletea zawadi za viazi,embe au vimazao vya shambani mradi tu aliwe papuchi alafu kisha anenda kutangaza kijijini kizima eti ana bwana kutoka mjini
 
ahahah kila dakika watajifanya wanakuletea zawadi za viazi,embe au vimazao vya shambani mradi tu aliwe papuchi alafu kisha anenda kutangaza kijijini kizima eti ana bwana kutoka mjini
mkuu kijijini huwa madada wanajileta wakijua unatoka dar wala hauangahiki kutongoza
 
Japo wa mkoani wana jimix wakizan watu wa dar wote watoka masaki kwa soseji mbili asubuh ......ila vilevile tambua unapo sema wanaume wa mkoani haimanishi mkoan kwote n kjjn kwamba ukitoka dar ushobokewe...n fikra za kipuuz...mwanza twn,arusha twn,mbeya twn nk....mbona hakuna tofaut kubwa na baadh ya sehem hapa dar

Ila ukweli n.kwamba watu weng wa dar hushindia mlo mmoja kwa siku,sidhan km kiafya watakuwa sawa na kjn wa mbeya au moshi anaweza kula mala nne kwa siku na milo ya afya akashiba......

Hizo chips kwakweli n matatizo tuu waweza kula chips then ukashika sululu..tuwaachie mabint wa shule hizoo..kwa man n aibu

Anyway swala la msingi tutafute pesa fanya yako achen.mada za kipuuzi
 
Bora hii serekali ihamie dodoma hili swala liishe na ww kama ni mwanaume wa dodoma jiandae na mada za wanaume wa dodama kipindi hicho cc wa Dar tutakuwa wa mkoani mbona mtakoma
 
Bora hii serekali ihamie dodoma hili swala liishe na ww kama ni mwanaume wa dodoma jiandae na mada za wanaume wa dodama kipindi hicho cc wa Dar tutakuwa wa mkoani mbona mtakoma
Wa dar tutabaki kuwa wa dar. Itakuwa kati ya dodoma na wa Pwani.
 
Back
Top Bottom