robert sendabishaka
JF-Expert Member
- Dec 11, 2015
- 3,111
- 3,294
hahahaha imenibidi nicheke saana hawa wanakataga magogo vichakani yaani ukilikuta kimba unajiuliza limepitia kwenye tundu gani la mwili wa binadamu hahahahaHuo ugali wa mtama unawabaka wanaume wa mkoa, maana gogo lake linafumua marinda na damu juu ni majanga tupu..[emoji12] [emoji12] [emoji12]
ahahah..bahatika kulifumania limeshushwa kichakani haki ya nani unaweza kujiuliza huyu binadamu aliyefanya hivi au la? kisha mwanaume zamani amejisosela na majani ameshasepaHuo ugali wa mtama unawabaka wanaume wa mkoa, maana gogo lake linafumua marinda na damu juu ni majanga tupu..[emoji12] [emoji12] [emoji12]
kijijini ni shida! yaani watu wanakunya njiani yani! sijui ni shauli ya hiyo mivyakula migumu!Nimepitia threads mbali mbali za vijana wa mikoani(vijijini) wakijinasibu kwa kula vyakula vigumu, eti vinatia nguvu (!?) ikiwemo za kiume huku wakitulalamikia eti wanaume wa Dar hatuna nguvu(wanaolalamika wanaume lakini) wana insist chakula cha chips.Dar kuna vyakula vingi mfano ugali sembe,pilau,wali,biriani,pweza,samaki,ngisi,chapati,kahawa,chips,kuku,mayai,dagaa kamba,matembele,sukuma wiki,mnafu n.k. Amini nakwambia kama uko kijijini unashindia michembe,kichuli,dagaa,fulu,mbege,komoni na kende za mbuzi toroka uje mjini ufaidi maisha.Toroka haraka uje mjini..
1.Vyakula vya Mjini
View attachment 375084
pilau
View attachment 375085 View attachment 375087
Pweza na supu yake na limao pembeni
View attachment 375088
viazi vya kuaanga/chips
View attachment 375089
biriani
View attachment 375090
kabab
View attachment 375092
mishikaki
View attachment 375093
Samaki wa baharini aina ya ngulu,tango na kitunguuView attachment 375094
ugalu samaki
VS
2.Vyakula vya kijijini
View attachment 375095 View attachment 375098
ugali wa udaga
View attachment 375101
Dona,bamia,mwziwa
View attachment 375102
Michembe
hahahahaha! mkuu umeua kabisa....haya sasa, ngoja tuone wale wanaotudharau sisi wanaume wa Dar tunaokula kila aina ya vyakula vinavoongeza NGUVU ZA KIUME.Nimepitia threads mbali mbali za vijana wa mikoani(vijijini) wakijinasibu kwa kula vyakula vigumu, eti vinatia nguvu (!?) ikiwemo za kiume huku wakitulalamikia eti wanaume wa Dar hatuna nguvu(wanaolalamika wanaume lakini) wana insist chakula cha chips.Dar kuna vyakula vingi mfano ugali sembe,pilau,wali,biriani,pweza,samaki,ngisi,chapati,kahawa,chips,kuku,mayai,dagaa kamba,matembele,sukuma wiki,mnafu n.k. Amini nakwambia kama uko kijijini unashindia michembe,kichuli,dagaa,fulu,mbege,komoni na kende za mbuzi toroka uje mjini ufaidi maisha.Toroka haraka uje mjini..
1.Vyakula vya Mjini
View attachment 375084
pilau
View attachment 375085 View attachment 375087
Pweza na supu yake na limao pembeni
View attachment 375088
viazi vya kuaanga/chips
View attachment 375089
biriani
View attachment 375090
kabab
View attachment 375092
mishikaki
View attachment 375093
Samaki wa baharini aina ya ngulu,tango na kitunguuView attachment 375094
ugalu samaki
VS
2.Vyakula vya kijijini
View attachment 375095 View attachment 375098
ugali wa udaga
View attachment 375101
Dona,bamia,mwziwa
View attachment 375102
Michembe
Acha ushamba kjn ..huo n ugali wa ulezi..na afya ya maana na hapa dar wapo wanao kula kama huo.....View attachment 375114 Duuh sasa ukila hii utajisaidia nn maana kipo kama ma** tayari
Kijijini bwana
Mbona nyie mnapaka mafuta yakula usoni atusemi..Wanaume Wa dar Hadi krimu na mikorogo wanatumia, tumewachoka
Duh kama vita [emoji23] [emoji23] [emoji23]View attachment 375318 cheki ligi ya mkoa,show ya kibabe[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wacha tu washindane kushusha..sasa huku ni kula au kujaza tumbo!?View attachment 375318 cheki ligi ya mkoa,show ya kibabe[emoji1] [emoji1] [emoji1]
hivi wanakula watu wangapi hapo nguna yenyewe ngumuuuView attachment 375318 cheki ligi ya mkoa,show ya kibabe[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Wanaume wa Dar wakikutana na hii kitu watakwambia siwezi kutafuna meno yanauma......View attachment 375318 cheki ligi ya mkoa,show ya kibabe[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Takwimu za Dr Mpango, Dar ndio ina watu wachache wanaoishi kwa shida ikiwemo kukosa milo mitatu. Ikifuatiwa na Klm. Arusha iko sijui ya tano, Mwanza inashindana na Kigoma kwa shida. Kwahio ukizungumzia kushindia mlo mmoja mikoani ndio wanaongoza si Dar.Ila ukweli n.kwamba watu weng wa dar hushindia mlo mmoja kwa siku,sidhan km kiafya watakuwa sawa na kjn wa mbeya au moshi anaweza kula mala nne kwa siku na milo ya afya akashiba......
ππππDuuh sasa ukila hii utajisaidia nn maana kipo kama ma** tayari
Kijijini bwana