Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

It was one of the best game of the season,
 
E bana e..ile njemba inayoitwa Huddlestone (spelling?) kwa maono yangu naona inastahili kuanza kwenye first 11 ya England.

Huyo dogo amejitahidi sana kukomaa mwenzake Jenas amechemsha,walivyosajiliwa kina Mondric na Palacio nikasema dogo hana namba lakini amekaza buti
Pale England Gerrard amechoka sana
 
Congraturations Guys kwa kazi nzuri mkilinganisha na budget mliyotumia, Sorry for CITY with those multi-millions spent on transfers! -

Welcome to Uefa Champions Leaque.
 
Nguvu haiwezi kuisha kwa kufungwa, kumbuka msimu uliopita tulizinduka wakati gani na hatukulala tena. Safari hii tumeanza mapema, ila kuna timu tukikutana nazo tunakuwa na mcheche. Sitazitaja ingawa nazijua, hapo tukipata hata droo tu itakuwa kama ushindi. Ila watu wakae sawa, tumeaziamia kutoa watu nishai hasa wale wenye mdomo mrefu.


Si useme Man U?
 
hongera SPURS karibuni kwenye UEFA CL,malizieni kazini kwa kushika nafasi ya tatu.
 
Asanteni woooooote mliotupa hongera kwa mafanikio tuliyoyapata. Kuweka malengo na kufanikiwa kuyatimiza si kazi ndoto, hasa ukizingatia kuwa unashindana na wenye pesa.
 
Tottenham must beat Swiss side Young Boys in their two-legged Champions League play-off to land a coveted place in the competition's group stages. Harry Redknapp's team avoided bigger-name sides such as Dynamo Kiev of Ukraine, Italian side Sampdoria and French outfit Auxerre.
Tottenham will play in Berne's Stade de Suiss on 17 August before hosting Young Boys at White Hart Lane on 25 August.
The Londoners have never before played in the European Champions League.
Neither club has played in the competition's group stages, although Tottenham did take part in Europe's top club competition 48 years ago - when it was known simply as the European Cup.
o.gif

There are no easy games at this level



Spurs boss Harry Redknapp


Young Boys got into the play-offs by beating Turkish side Fenerbahce 1-0 in Istanbul [3-2 on aggregate] in the previous round.
Last season's runners-up in the Swiss league are also well into their domestic season, which kicked off on 17 July, although they have failed to win any of their opening three games.
Spurs' only previous European meeting with Swiss opposition ended in a 9-1 aggregate win over Grasshoppers in the 1973/74 Uefa Cup.
"We'll be favourites, obviously, but we have to give Young Boys the utmost respect," Tottenham manager Harry Redknapp told the club's official website on hearing the draw.



"They beat Fenerbache in the last round and we watched the first leg on DVD. They could have won four or five, they hammered them at home. They then went away and won in Turkey and that's a fantastic result.
"There are no easy games at this level. They also have an astroturf pitch at their stadium and they play well on it, so it will be a tough game for us.
"We've got to try and get into the group stages, that would be fantastic for the club."
Young Boys sporting director Alain Baumann admitted his side had been handed the toughest possible draw.
"We are happy to play Tottenham," he said. "For Young Boys, it's a good draw but the hardest. For the spectacle, it's the best.
o.gif
606: DEBATE

Already as good as through. Brilliant draw. I honestly believe that we can progress further than Arsenal in the CL this year



footballendethics


"We beat Fenerbahce but I think Tottenham are more difficult for us. We hope to have a little chance and this chance we will need to take.
"Tottenham is a name in the world like Liverpool or Chelsea, so for us it's big, big game."
The Young Boys squad includes an Enfield-born Spurs fan in Scott Sutter, who moved to Switzerland aged 16.
Du, tunacheza na Yanga ya Ulaya kwenye play-off!, sijui tuwaombe Simba watupe ujanja!
 
Shedafa upo?
amkeni, amkeni amkeni sasa....

♫ ♫ "kumekucha sasa kumekuchaa, majogoo ya vijijini yanawika, wazalendo amkeni, tufanye kazi saaasaa!" ♫ ♫
 
Tote wanatisha, kumbe wana huyu dogo kutoka Mexico. They look better than ManCity!
 
YOung boys are malicious and dangerous to spuds
 
...khekhe kheeh..!
labda hilo goli moja walilopata ugenini litawasaidia
match ya marudiano.
wameongeza hapa la pili lol,young boys wanazima rada mapema yote.joto wamelipata lakini la champions league manake walishaanza wakina defoe kuongea " oh tuta fanya vizuri kwenye champions league zaidi ya arsenal".
 
wameongeza hapa la pili lol,young boys wanazima rada mapema yote.joto wamelipata lakini la champions league manake walishaanza wakina defoe kuongea " oh tuta fanya vizuri kwenye champions league zaidi ya arsenal".

...ha ha ha,...walishaanza tukana mamba kabla hawajavuka mto?
Wamepewa bonge la wake up call leo.
Sio Carling Cup hii!
 
...ha ha ha,...walishaanza tukana mamba kabla hawajavuka mto?
Wamepewa bonge la wake up call leo.
Sio Carling Cup hii!
sana tu mkuu,siwapendi hawa mchezo wao wa kila kitu wanataka kutuangalia arsenal,sasa wanasema watapata mafanikio zaidi ya arsenal kwenye champions league ni kwamba watachukua kombe au? manake tulishafika final sasa zaidi ya hapo itakuwa kuchukua kombe lool.


Watakuwa wametia akili sasa,hawa watakuja kupata mambo ya aston villa kwenya europa walikuja kujikuta wanapanga reserve timu europa kisa wanataka top finish lol,mwisho wake wakakosa kila kitu.wanapata habari ya kucheza mechi 2 ndani ya siku 7 lool.
 
sana tu mkuu,siwapendi hawa mchezo wao wa kila kitu wanataka kutuangalia arsenal,sasa wanasema watapata mafanikio zaidi ya arsenal kwenye champions league ni kwamba watachukua kombe au? manake tulishafika final sasa zaidi ya hapo itakuwa kuchukua kombe lool.


Watakuwa wametia akili sasa,hawa watakuja kupata mambo ya aston villa kwenya europa walikuja kujikuta wanapanga reserve timu europa kisa wanataka top finish lol,mwisho wake wakakosa kila kitu.wanapata habari ya kucheza mechi 2 ndani ya siku 7 lool.

Wana maana ya kuchukuwa kombe....ngoja tuwaone.....
 
Back
Top Bottom