Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
E bana e..ile njemba inayoitwa Huddlestone (spelling?) kwa maono yangu naona inastahili kuanza kwenye first 11 ya England.
Nguvu haiwezi kuisha kwa kufungwa, kumbuka msimu uliopita tulizinduka wakati gani na hatukulala tena. Safari hii tumeanza mapema, ila kuna timu tukikutana nazo tunakuwa na mcheche. Sitazitaja ingawa nazijua, hapo tukipata hata droo tu itakuwa kama ushindi. Ila watu wakae sawa, tumeaziamia kutoa watu nishai hasa wale wenye mdomo mrefu.
3-0 mambo ya young boys hayooo... mpo? mliongea uchafu sana.
Naona mnaonja utamu waa champions league,mtoto akililia wembe mpe .
wameongeza hapa la pili lol,young boys wanazima rada mapema yote.joto wamelipata lakini la champions league manake walishaanza wakina defoe kuongea " oh tuta fanya vizuri kwenye champions league zaidi ya arsenal"....khekhe kheeh..!
labda hilo goli moja walilopata ugenini litawasaidia
match ya marudiano.
mkuu upo?
nami nacheki mechi hapa....
wameongeza hapa la pili lol,young boys wanazima rada mapema yote.joto wamelipata lakini la champions league manake walishaanza wakina defoe kuongea " oh tuta fanya vizuri kwenye champions league zaidi ya arsenal".
sana tu mkuu,siwapendi hawa mchezo wao wa kila kitu wanataka kutuangalia arsenal,sasa wanasema watapata mafanikio zaidi ya arsenal kwenye champions league ni kwamba watachukua kombe au? manake tulishafika final sasa zaidi ya hapo itakuwa kuchukua kombe lool....ha ha ha,...walishaanza tukana mamba kabla hawajavuka mto?
Wamepewa bonge la wake up call leo.
Sio Carling Cup hii!
sana tu mkuu,siwapendi hawa mchezo wao wa kila kitu wanataka kutuangalia arsenal,sasa wanasema watapata mafanikio zaidi ya arsenal kwenye champions league ni kwamba watachukua kombe au? manake tulishafika final sasa zaidi ya hapo itakuwa kuchukua kombe lool.
Watakuwa wametia akili sasa,hawa watakuja kupata mambo ya aston villa kwenya europa walikuja kujikuta wanapanga reserve timu europa kisa wanataka top finish lol,mwisho wake wakakosa kila kitu.wanapata habari ya kucheza mechi 2 ndani ya siku 7 lool.