Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

Huyu kipa City ananikumbusha Fabianski lol.Wenger upozz..Bwa ha ha ha
 
Huyu kipa City ananikumbusha Fabianski lol.Wenger upozz..Bwa ha ha ha

fulop kajitahidi sana hii mechi jamaa huwezi kumfananisha na fabianski.

nategemea tevez atasawazisha dakika za mwisho make noma tunaweza kupelekwa nafasi ya nne.possibility yetu ndogo sana kushinda au kutoa draw mechi ya mwisho,spurs wana uwezo mkubwa wa kushinda mecchi yao ya mwisho.
 
hawa jamaa wataongea sana hawa wamefika champions league.sema wote sawa muache adebayor acheze europs huko.
 
Spurs wanafaa kula mapesa ya Uerefa, well done spurs.
 
Come Spurs! Take that fourth place, it's all yours!
 
Torres to Chelsea hawezi kwenda kwa hawa waarabu! Hawako CL
 
Come Spurs! Take that fourth place, it's all yours!

They are looking for 3rd place, don't they?
'the special one' kisha fanya mambo yake kule Italy, anasubiri CL title.
Jumapili sasa jamani, Arsenal mkizembea Fulham watawalambisha na Spurs watawatandika Burnley bila shaka, come on Chelsea mtatuachia ubingwa wetu au? hahaha let us wait.
 
hawa jamaa wataongea sana hawa wamefika champions league.sema wote sawa muache adebayor acheze europs huko.

wataongea zaidi wakikupita mzee angalia gunners ni bora akose kombe kuliko kuwa chini ya spurs.
 
They are looking for 3rd place, don't they?
'the special one' kisha fanya mambo yake kule Italy, anasubiri CL title.
Jumapili sasa jamani, Arsenal mkizembea Fulham watawalambisha na Spurs watawatandika Burnley bila shaka, come on Chelsea mtatuachia ubingwa wetu au? hahaha let us wait.

The Special One keshachukua Coppa d'Italia, anaanza kuvuna matunda ya kazi yake, moja baada ya jingine.
 
_47785157_009231012-1.jpg

_47785041_009230735-1.jpg

_47785085_post_766.jpg

_47785126_009230882-1.jpg
 
Nipongezeni basi, hata hongera hamnipi?. Lakini nawashukuru kwa kukubali ukweli.
 
E bana e..ile njemba inayoitwa Huddlestone (spelling?) kwa maono yangu naona inastahili kuanza kwenye first 11 ya England.
 
Back
Top Bottom