Aah, bwana wee, wamechakachua matokea ya kura zangu!.
Nipo mkuu, mambo hayaendi kama tulivyotaraji, si unajua tena. Sijui kwa ajili ya mechi mfululizo, maana zimekuwa nyingi lakini bado mapema tunaweza tukajirekebisha baadae.
Mbu yeye ni Oxygen Tank,huwa anapitia kujaza Oxygen humu....,!Sawa mkuu nimekupata.
Mheshimiwa Mbu nikifanya vizuri kama leo uwe unanipongeza basi, ndio uanamichezo huo!
Shedafa,hongera sana,timu iko safi naona mvua za magoli zitakuwa nyingi tu,nadhani Mbu amesahau wajibu wake kuwa anatakiwa kusupply Oxygen kwenye hii forum,kuna Special thread kibao humu ziko anoxic,zinasuffocate!
Gareth Bale ni balaa huyu!Huyu Gareth Bale tunamuandalia fungu la kutosha atue OT
Gareth Bale ni balaa huyu!
tusubiri marudiano hapo white hart lane,spurs vs inter(Redknapp vs Benitez) Redknapp ameshamfunga sana Benitez white hart lane akiwa na liverpool,ila away nae anachapwa na Benitez
Prediction? Itategemea na hali ya mambo itakavyokuwa,bei yake itakuwa kubwa kuliko hata ile ambayo OT walishindwa kwa Ozil, Arsenal,rearly buys super stars, Chelsea has plenty of the likes....mwakani habaki hapo, presha tupu!
Ozil simply hakutaka kwenda Manchester United alichofanya Ozil ni kama alichofanya Benzema.Prediction? Itategemea na hali ya mambo itakavyokuwa,bei yake itakuwa kubwa kuliko hata ile ambayo OT walishindwa kwa Ozil, Arsenal,rearly buys super stars, Chelsea has plenty of the likes.
Wachawi haoooo, utawaona tu!. Hivi hamna mahali pengine pa kupatia wachezaji mpaka tuwatafutie sie, hebu oneni aibu japo kidogo. Kila mzuri wenu!. Kwa taarifa yako safari hii haondoki mtu Spurs, ingieni porini mkatafute.Huyu Gareth Bale tunamuandalia fungu la kutosha atue OT
Haha mkuu wacha hasira si unajua tuna ushirikiano mzuri kati yetu na yie ukizingatia Fergie na Harry ni marafiki wazuri tu kwa hiyo nyie endeleeni kuvumbua alafu mtuuzie wachezaji.Wachawi haoooo, utawaona tu!. Hivi hamna mahali pengine pa kupatia wachezaji mpaka tuwatafutie sie, hebu oneni aibu japo kidogo. Kila mzuri wenu!. Kwa taarifa yako safari hii haondoki mtu Spurs, ingieni porini mkatafute.
Si kwamba SAF alikuwa anasuasua?Ozil simply hakutaka kwenda Manchester United alichofanya Ozil ni kama alichofanya Benzema.