Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
Aah, bwana wee, wamechakachua matokea ya kura zangu!.
Nipo mkuu, mambo hayaendi kama tulivyotaraji, si unajua tena. Sijui kwa ajili ya mechi mfululizo, maana zimekuwa nyingi lakini bado mapema tunaweza tukajirekebisha baadae.
ha ha ha! pole sana ndugu yangu. Haya, msiba wa wengi harusi, Spurs, Liverpool, Chelsea, Man Citeh wote nje...
Usipotee sana mkuu..