Haya ngoja niifufue huu uzi, ingawa sina uhakika kama nasi tutavuma mwaka huu pamoja na usajili wa kufuru tuliofanya. Mheshimiwa Mbu rafiki yangu, ombi lako nimetimiza.
Haya ngoja niifufue huu uzi, ingawa sina uhakika kama nasi tutavuma mwaka huu pamoja na usajili wa kufuru tuliofanya. Mheshimiwa Mbu rafiki yangu, ombi lako nimetimiza.
Mimi ni mwanamichezo,sina ushabiki wa kitoto kama walivyo wengi humu.
Kaka biashara nzuri ilikuwa ile, uoni tumepata wengine 5 kwa pesa hiyo hiyo!Ahhhh Shedafa kaka, upo?
Saaaafi sana kwa kuufufua unyuzi huu...
Mpo sawa msimu huu,
Yule Spurs mwenzio klorokwini sijui kafia wapi!
Haya, msimu umeanza tupo pamoja kiongozi....
#Bale mmemuuza sijui nani atawatengenezea magoli msimu huu
Kaka biashara nzuri ilikuwa ile, uoni tumepata wengine 5 kwa pesa hiyo hiyo!
nilikuwa napita tu humu jamii forum sikutaka kuwa member hata siku moja ila leo nikaona tottenham thread nikadata kwanza na kuchukua jukum la kuwa member wa jf fasta coz nimejikuta nna mapenz mazito na hii tim kwa siku nyingi na marafiki zangu wananicheka wananiambia ndo shabiki peke yangu wa spur tz nzima na leo napata wenzangu,
......wenye thread hii wanapumulia mashine tu....
Ushindi wa kubahatisha hata thread haina mshiko, heheheheh...
Ha ha ha ha!Hehehehe umeona ehh..
Mkuu shedafa katikati ya msimu anatelekeza thread .. Anakuja kuibuka wakishinda ..
Na haya ndio mapenzi, no matter what. Unajua wengine wanafuata mkumbo, na si muda mrefu utawaona hasa wale wa upande wa Man U. Kusungwafungwa huku, watabaki wapenzi wa kweli.Teh teh nikiona ya everton ndio chakula nitachokula kitanitoka mdomoni kwa mshangao mpo wapi watani wenzangi wa everton na sie lfc tuna subiri thred yenu Kama arsenal walivyoishangaa hii, Shedafa nakuvulia Kofia kweli si lazima kupenda cha wengi.
ASTON VILA 0 - SPURS 2
Angalau leo nitalala vizuri!