Tottenham Hotspurs Thread

Tottenham Hotspurs Thread

18f281b4ace9f08f5b7a3f81acd536a4.jpg
 
mmebebwa na stupid italian defensive mentality.
Wakiamua kushambulia kama zile dk za mwanzo,hata kwenu Wembley watawakalisheni.
Juve wataamua mechi wenyewe,washinde au wafe,muombe Mungu huu upuuzi wao wa kitaliano walioonyesha jana waufanye tena,hasa wakitangulia kufunga.
 
Hueleweki.
Hii ni Spur amabyo ndiyo hiyohiyo iliyomtandika Madrid hapo Wembley, kwahiyo hawatashindwa kumnyoosha juventus hapo Wembley. Huwezi fananisha ujinga walioufanya spur wakasababisha goli mbili za mwanzo na uchezaji walioucheza
Spurs ndio walicheza mpira. Baada ya kupigwa lile goli la pili la penalt, upande wa spurs ndo ulikuwa umefikia ukingoni kuweza kushinda. ila waliweza kucheza kandanda na kuudi katika gemu.
Spurs waliweza kuwachezesha jamaa nusu uwanja na jamaa walikuwa kwao.
 
mmebebwa na stupid italian defensive mentality.
Wakiamua kushambulia kama zile dk za mwanzo,hata kwenu Wembley watawakalisheni.
Juve wataamua mechi wenyewe,washinde au wafe,muombe Mungu huu upuuzi wao wa kitaliano walioonyesha jana waufanye tena,hasa wakitangulia kufunga.
Nadhani umeanza kuangalia game za spurs hii hatua ya 16 bora Ila hujajua ubora wa spurs we subiri mkuu hadi final tupo Ila hatuvumi.
 
Mkubwa mkubwa tu,kweli nimeamini hamna mwalimu mzuri kama EXPERIENCE ,hilo nimelipprove kwa Real madrid na Juventus,pamoja na ubora wa PSG na SPURS lkn wote wametoka.
 
Back
Top Bottom